Posts

FAIDA ZA KUTUMIA KARAFUU KIAFYA

Image
 MATUMIZI YA KARAFUU KATIKA TIBA Tafiti zinasema karafuu ni miongoni mwa viungo muhimu vyenye faida nyingi kiafya kama , husaidia usagaji mzuri wa chakula, tumbo kujaa gesi, inaimarisha afya ya mifupa pia huleta hamu ya kula chakula. Pamoja na faida zote hizo karafuu ina faida kwenye afya ya uzazi wa mwanamke na mwanaume pia. 1️⃣Karafuu ni nzuri kwa mwanamke mwenye changamoto ya kuziba kwa mirija  2️⃣Karafuu ina sifa ya kurudisha hedhi ( period) iliyokata muda mrefu 3️⃣Karafuu ina sifa ya kuzuia na kuyeyusha  uvimbe wowote kwenye kizazi ( ovarian cyst & fibroids) 4️⃣karafuu inasaidia zoezi la kupevusha mayai hivyo hurahisisha zoezi la kubeba ujauzito 5️⃣Karafuu ina sifa ya kuzuia na kutibu kansa ya kizazi ( cervical cancer) MATUMIZI Tumia juisi ya karafuu. Chukua karafuu vijiko vitatu kisha loweka kwenye maji lita moja jioni. Kesho asubuhi chuja yote makapi tupa. Kunywa juisi hii asubuhi glass moja na jioni glass moja kwa siku 30 mfululizo. Ahsante 🙏🙏 karibu katika ...

HESHIMA YA NDOA NI KUWA NA AFYA NA NGUVU ZA KIUME FAHAMU .WANAMKE ANAVYO PUNGUZA NGUVU

Image
 Jinsi Mwanamke anavyoweza Kukusababishia Ukapoteza Hamu Ya Tendo na Uwezo wa KushirikiTendo la Ndoa Ukitafakari kwa haraka utakosa jibu, lakini ukiendelea kusoma makala haya utaelewa kwa nini wanahusika na wanatakiwa kufanya nini ili angalau kuipunguza aibu hii inayowakosesha raha wanaume wengi. 1. UBUNIFU Inaelezwa kuwa wanawake hasa waliopo kwenye ndoa au Mahusiano kwa muda mrefu, hupunguza ubunifu/ utundu kitandani na hivyo kuwafanya waliokuwa nao kuwaona tofauti na kupunguza hamu ya kujamiiana. 2. KAULI Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litampelekea kupotea nguvu za kiume taratibu. Msaada unaohitajika kwa mwanamke anayekutana na mwanaume dhaifu kwenye tendo si kumwambia hawezi, bali ni kumtia moyo na kumsaidia kuweza. Wanawake wamewasababishia waume zao upungufu wa n...

UNAHITAJI KUTIBU KISUKARI SASA FAHAMU LISHE NA TIBA

Image
 *UNAHITAJI KUMALIZA CHANGAMOTO YA KISUKARI!?* Ukweli ni kwamba hauhitaji kutibu kisukari Unachohitaji hasahasa ni kutibu kongosho na kuboresha utendaji kazi wa seli za mwili kwani ndio chanzo cha tatizo la kisukari.  Siku zote  ukitaka kumaliza tatizo tibu chanzo chake na hii ndio siri ambayo watu  wengi  hawafahamu ndio maana  huishia kutibu kisukari bila mafanikio leo nakupa hii siri. ✍🏻Hata kama umeshajaribu tiba zingine kwa kipindi cha nyuma bila mafanikio basi Program ya *NMN DIABETIC PACKAGE* ni kwaajili yako.  Soma mpaka mwisho👇🏻👇🏻  📌Ukianza kutumia Program ya _*NMN DIABETIC PACKAGE*_ itakusaidia kutibu kongosho na kurekebisha utendaji kazi wa seli za mwili na kumaliza kabisa changamoto ya kisukari. ✅Unapotumia Program hii itakusaidia..... 👇 ⏭Kuboresha Utendaji kazi wa kongosho na kuimarisha seli za mwili kwahiyo utamaliza changamoto ya kisukari kabisa. ⏭Huimarisha utendaji kazi wa homoni ya Insulin mwilini kwahiyo(Huna haja ya kuch...

NMN KUTIBU SUKARI,PRESHA,TEZI DUME NA NI ANT_AGING

 FAHAMU KUHUSU NMN (KIRUTUBISHO LISHE) Kutibu Kisukari, Pressure, Tezi dume na ni ANT_AGING. Kuhusu NMN(Nicotinamide MonoNucleotide. Kumbuka yafuatayo ukitumia NMN mwili unaibadilisha kuwa NAD+ (Nicotinamide Adenine Dinuclotide ) chanya.(Aina Fulani ya kimengenywa saidizi yaani coenzyme.) Hii  NAD+ ndio inayofanya ukarabati wa mfumo wa DNA( vinasaba). Na matokeo yanakuwa Kama ifuatavyo ifuatavyo; 1 NAD+Inarekebisha na kuimarisha seli za mifumo ya fahamu hasa ubongo. 2 Inaimarisha utoaji na ufanyaji kazi wa insulin(hivyo kuthibiti magonjwa ya sukari ) na kuvunja vunja kiwango cha sukari mwilini 3 Inazuia magonjwa mengine yanayotokana na umri Kama cancer, magonjwa ya moyo n.k 4 Inarekebisha seli za ngozi hivyo kupunguza uchakavu na kuchoka wa ngozi (MAKUNYANZI) na kuweka mwonekano wa ujana. 5 Inaruhusu virutubishi kwenye mwili kuchakatwa kwa ubora wa Hali ya juu. Ni muhimu kumbuka kwamba mwili unatengeneza NAD+  Lakini  inaendelea kupunguza jinsi umri unavyo sogea. Not...

UFANYE NINI UKIWA UNAPATA MAUMIVU KWENYE KUNYONYESHA FAHAMU

Image
 Ufanye nini unapopata maumivu ya maziwa wakati wa  kunyonyesha? Mara kadhaa wanawake wanaonyonyesha hupata maumivu ya maziwa. Hali hiyo inaambatana na ziwa kuvimba na kuwa jekundu. Tatizo hilo husababishwa na kuziba kwa mirija midogo inayosafirisha maziwa kupeleka kwenye chuchu. Maambukizi ya bakteria hufuatia baada ya mirija kuziba. Dalili •Kuhisi maumivu kama ziwa  linawaka moto  •Ziwa kuvimba na kuwa na ugumu •Kupata maumivu wakati wa kunyonyesha •Wakati mwingine mama anapata  homa,  Matibabu Iwapo mama amepata tatizo hili anahitaji kufanya mambo yafuatayo kama sehemu ya matibabu •Pata muda wa kutosha kupumzika.  •Tumia vinywaji au vyakula vyenye majimaji kwa wingi •Nyonyesha mtoto mara nyingi uwezavyo mfano kila baada ya saa 2-3. Mama anaponyonyesha itamsaidia kuondoa maambukizi na pia ni salama kwa mtoto. Mdomo wa mtoto unapaswa kufunguka sana, na chuchu yote  ingizwe ndani ya mdomo wa mtoto. •Anza kunyonyesha upande wenye maumivu, ili mtoto...

DAWA YA MENO YENYE KUTIBU NA KUNGARISHA

Image
 DAWA YA KUNG'ARISHA MENO Hii ni Dawa Ya Meno Asilia Imetokana na mchanganyiko asilia wa viambata Kama vile Green tea,Honeysuckle na Notogingseng          wa.me/255684450076 Kazi Zake ni 👇👇👇 ●Ing'arisha Meno Yanakua Meupe •Kuua vijidudu katika kinywa •Kuondoa harufu mbaya mdomoni wa.me/255684450076 ● •Kuponya fizi zinazotoa damu •Kusaidia kutoa ganzi ya meno •Kuondoa maumivu makali ya meno ● •Kusaidia fangasi ya mdomoni,na sehemu zingine •Kukausha majeraha ya kuungua au kujikata •Ni salama zaidi kwani haina madini ya fluoride badala yake kuna mimea mchanganyiko • ●Imethibitishwa na mamlaka ya dawa na vifaa tiba Tanzania TMDA •Ni bidhaa namba moja Tanzania haina Fluoride Dr. Ts toothpaste ni ukitumia hutasumbuliwa tena na tatizo la Meno tumia Dr. Ts toothpaste ili kuimalisha meno yako. Nipigie👉 0684450076 Gusa 👉  watsapp

Njia za Kutibu Kutokwa na Damu Kwenye Fizi

Image
 AFYA: FANYA YAFUATAYO KUJITIBU KUTOKWA NA DAMU KWENYE FIZI > Ugonjwa wa ufizi huathiri ufizi na huweza kusambaa kwenye mifupa inayoshikilia meno. Hii ni mojawapo ya sababu ambazo hufanya watu kupoteza meno. Ni vema kutibiwa kabla ya kusababisha madhara makubwa > Tumia mswaki laini, badili mswaki kila baada ya miezi mitatu, usichokonoe meno mara kwa mara na epuka uvutaji wa Sigara na Tumbaku  > Kula mboga za Majani, Matunda na vyakula vyenye Vitamini C na K kwa wingi na ikiwezekana onana na Daktari  kwa ajili ya matibabu zaidi Ushauri zaidi na matibabu Tupigie 0684450076 Watsapp

BADHI YA VYAKULA VINAVYO ONGEZA DAMU FAHAMU

Image
 BAADHI YA VYAKULA VINAVYOONGEZA DAMU MWILINI Baadhi ya Matunda na Mbogamboga kama Matembele, Spinachi, Broccoli au Sukuma Wiki husaidia kwa kiwango kikubwa kuongeza Damu.  Pia unaweza kusaga Matembele kuwa Juisi Pendelea kula Vyakula vyenye vyanzo vizuri vya Madini Chuma kama Maharage, Samaki, Nyama na Maini.  Pia, Juisi ya Rozella na Tikiti Maji

UJUWE UGONJWA WA TEZI DUME NA LISHE KUJIKINGA

Image
 #Tezidumenini IJUE TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE BILA UPASUAJI Tezi dume ni moja ya tezi ya uzazi ya kiume ambayo kila mwanaume anayo, tezi hii lipo chini ya kibofu cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume. *NOTE:Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nayo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au Saratani.* Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume. •Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis). •Kukua kwa tezi dume ambayo sio Saratani (Benign Prostatic  Hypertrophy-BPH). •Saratani ya tezi dume. *KAZI YA TEZI DUME* •Kutoa majimaji anayochanganyika na mbegu za kiume (sperms) kutengeneza manii (semen). *SARATANI YA TEZI DUME* Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vitokanavyo na saratani kwa wanaume duniani. Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 40 na kuendelea. *VISABABISHI VYA SARATANI YA TEZI DUME* Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikani...

FAIDA ZA MAZIWA MTINDI KIAFYA

Image
 AFYA: Maziwa Mtindi huwa na Protini nyingi, Calcium, Vitamini, na Bakteria wazuri ambao husaidia kubadilisha Sukari. Mtindi husaidia kutoa ulinzi kwenye Mifupa na Meno na pia kuzuia matatizo ya Usagaji wa Chakula Aidha, Mtindi umeonesha kuwa na uwezo mkubwa wa kutoa kinga dhidi ya Maradhi ya kuambukiza Ukeni (Vaginal infections) ushauri na matibabu zaidi  0684450076

JINSI YA KUREJESHA HEDHI ILIYO KWAMA NA ASIYE PATA HEDHI BILA SABABU ZA MSINGI

Image
Kitunguu maji, asali na limao ni dawa nzuri ya kusaidia kutoa hedhi nje iliyokwama Pia kitunguu maji, asali na limao ni dawa nzuri pia kwa mtu mwenye matatizo ya kupumua (asthma) Chukua vitunguu maji viwili vya wastani, katakata na kuchemsha kwa dakika tano kwenye maji yenye ujazo wa nusu lita kisha ipua na ukamulie limao kisha mimina vijiko kadhaa vya asali Utakunywa glass moja asubuhi na jioni kwa siku 3 km hedhi imekwama itaanza kutoka Kwa mgonjwa wa pumu fanya hivyo kwa mwezi mzima kisha utajiskilizia wapi umefikia Karibu Sana, THABIT HERBAL CLINIC... Tunawasaidia wanawake kutatua changamoto za uzazi kama Fangasi, P.I.D sugu, Kuzibua Mirija ya Uzazi, Vivimbe, Matatizo ya Hedhi, Mvurugiko wa Homoni n.k   Tuandikie changamoto yako ya uzazi kwenda WhatsApp namba  0684 450 076 , Dr Thabit — Pia unaweza kuitumia phyto Ganoderma essense:- Ni Tiba Asilia Ambayo:-  ........ Inasafisha via vya uzazi yaani inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi, kuondoa majimaji na uchafu ...

FAHAMU UGONJWA WA P.I.D NA VYAKULA TIBA

Image
 UJUE UGONJWA WA P.I.D NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE   PID( Pelvic Inflammatory Disease )  Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS)   Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D   1.Kupitia ngono zembe 2.Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja 3.Kufanya mapenzi bila kutumia kinga 4.Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono 5.Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara 6.Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba 7.Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako 8.Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano) 9.Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu DALILI ZA UGONJWA WA  P.I.D 1.Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa ...

ONDOA KINYAMA ,UVIMBE ENEO LA HAJA KUBWA NA MAUMIVU BILA MADHARA

Image
  TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE BILA UPASUAJII BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE ➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa         *CHANZO CHA BAWASIRI* ➖ Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva ➖ Tatizo sugu la kuharisha ➖ Ujauzito ➖ Uzito wa mwili kupita kiasi ➖ Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa  (kulawitiwa) ➖ Kupata haja kubwa ngumu ➖ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni ➖ Kunywa pombe ➖ Kula sana nyama nyekundu ➖ Vidonda vya tumbo ➖ Ngiri(Chango/Hernia ➖ Kula sana pilipili ➖ Kunyanyua vitu vizito             *DALILI ZA BAWASIRI * ➖ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa ➖ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa ➖ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa ➖ Kupata kinyesi chenye damu ➖ Kupata maumivu makali wakati wa  kujisaidia haja kubwa ➖ kutokwa na uteute sehemu ya haja...

FANYA HAYA KUONDOA MIWASHO UKENI BILA DAWA

Image
  Katika hali ya kawaida mwanamke anaweza kuhisi muwasho ukeni mara moja moja . Hali hiyo ikiwa ya muda mrefu au ya kujirudiarudia inaweza kua imesababishwa na fangasi ukeni,allergy ukeni,Maamukizi ya bakiteria nk Kama nilivyoeleza katika post zilizopita kua ukeni kuna bakiteria wazuri na bakiteria wabaya .. wale wazuri hua ni wengi kuliko wabaya .. Inapotokea bakiteria wazuri wakapungua hupelekea bakiteria wabaya kuongezeka pamoja na fangasi. Sababu za muwasho zinaweza kua:- -kuosha uke kwa sabuni kali(medicated soap) -Kuvaa nguo za kubana kama tight,au chupi zinazobana. -Kutobadilisha ped mara kwa mara unapokua period -Unapofika ukomo wa hedhi kiwango cha homoni ya oestrogen hupungua na kusababisha uke kusinyaa na kua na miwasho. -Hali hii pia inaweza kutokea kama una stress mara kwa mara nk Matibabu yake hutegemea na chanzo cha tatizo -Na sio kila muwasho ni fangasi… -Muwasho mwingine unasababishwa na aleji Matibabu kama muwasho ni wa fangasi huwa ni dawa za kupaka za fangasi za...

FAIDA ZA KULA NDIZI KIAFYA

Image
 Matokeo 6 katika mwili wako kama ukila ndizi 2 kila siku.!  - Ndizi zina virutubisho vingi kama vile vitamini, nyuzinyuzi, protini, wanga, madini ya chuma na virutubisho vya sukari kama ‘Sucrose’ na ‘Fructose’.  Wataalam wa lishe wanasema kula ndizi mbili kwa siku kwa muda wa mwezi tu, afya yako itaimalika. - Bila shaka kuna faida nyingi lakini hapa zipo 6 kati ya nyingine nyingi; - 1. Kuondokana na tatizo la Kiungulia. Ndizi kiasili sio tunda lenye asidi kwa wingi, ikumbukwe kuwa kiungulia husababishwa na uwepo wa asidi nyingi mwilini.  Hivyo ndizi ni tiba kwa wote ambao wanasumbuliwa na kiungulia.  Kula japo ndizi moja kwa siku basi itatuliza haraka na kuondoa dalili zote za kiungulia. - 2. Kuondoa Presha. Ndizi pia zina wingi wa madini ya ‘Sodiam’ na ‘Potassium’ ambayo huweka sawa presha ya damu na kuimarisha afya ya moyo.  Madini hayo pia husaidia kutanua misuli ya moyo ili kufanya kazi zake kwa urahisi. - 3. Kuongeza Nguvu. Endapo utakula ndizi mbili ...

JINSI YA KUONDOA MAUMIVU MAKALI YA HEDHI BILA DAWA SOMA HAPA

Image
 JINSI YA KUONDOA MAUMIVU MAKALI YA HEDHI 1. ACHA KULA Soda, Juisi, smooth za matunda, Milkshakes, Nafaka na Ngano,Viazi,Pombe, Mafuta ya mbegu za Mimea, Margarine. . 2. KULA HIVI Mboga za majani, Matunda,Karanga za Omega 3 (Almond,korosho, mbegu za maboga),Samaki,kuku,Matunda na nyama MAUMIVU HUTAYASIKIA KABISA NA MZUNGUKO WAKO UTAKUWA IMARA NA UHAKIKA NDANI YA MWEZI MMOJA UKIWA KWENYE CHALLENGE. . Wangapi wako tayari kuanza  Huduma hii bila dawa za maumivu wala kemikali 0684450076

KINGA NA USHAURI USIJE UGUWA SARATANI YA MAPAFU

Image
  Jinsi Ya Kujikinga Na Kansa Ya Mapafu : Takwimu za epidem iolojia zinaonesha kufanya mambo yafuatayo kunapunguza maradufu hatari ya kupata kansa ya mapafu; 1) Epuka uvutaji wa sigara au kupumua moshi wa watu wengine wanaovuta.     2) Punguza au epuka kabisa kukutana gesi ya radon.     3) Epuka kukutana na kemikali zinazosababisha kansa ya mapafu unapokua mahali pa kazi au mahali pengine.     4) Kula chakula bora, matunda na mboga za majani kwa wingi.     5) Kwa wavutaji wa sigara wa sasa au wa zamani, watumie dozi kubwa ya vitamini au madawa yenye vitamini nyingi. HITIMISHO: Kwa msaada wa tiba na ushauri wa magonjwa ya afya yasiyo ya mlipuko wasiliana nasi kwa simu namba 06 844 500 76

MALALAMIKO YA WANAWAKE KWA WANAUME NGUVU ZA KIUME

Image
 Tunako elekea wanaume tutakosa vyote maana, Ukiona mwanamke anakulalamikia hisia zake huzikati na bado Kiuchumi napo unabweteka kuchakalika” .Ujue kwamba Unako elekea Utakosa Vyote na hautakuwa na matumizi ya binadamu yeyote. . Mwanaume Jitahidi sana: 1. Kutafuta kwa Nguvu na akili zako zote 2. Pesa unayopata Usitumie kubomoa mwili wako maana zitakupokonya uanaume wako. 3. Epuka maisha ya hanasa sio mazuri yanafubaza kiwili wili chako mapema sana. 4. Mwisho wa siku utapata vigezo vyote wanawake wanataka. Uwe na pesa ya kumtunza sio utunzwe. Na Kingine zaidi Usipate malalamiko ya Hisia zake inapokuja kwenye uwanja wa Fundi seremala. . Hali sasa ni mbaya na malalamiko ni Chungu nzima. Hebu turudi kwenye Utaratibu huo hapo Juu. 06 844 500 76

ANATIC SOAP TIBA YA MATATIZO YA NGOZI

Image
 ANATIC SOAP  ZIJUE FAIDA ZA KUTUMIA ANATIC SOAP _ Huondoa chunusi na madoa sugu _ Huondoa harufu mbaya mwilini _ Huondoa weusi makwapani na mapajani _ Hufanya ngozi kuwa nyororo na yakuvutia _Huondoa michirizi kwenye ngozi  NB: HAICHUBUI Kwa wale wenye maduka ya vipodozi na pharmacy hii sio ya kukosa utapata kwa bei jumla nafuu kabisa  ukichkua kuanzia 5 wahi sasa ofa hii CALL:06 844 500 76

FAHAMU UGONJWA WA KISUKARI NA LISHE NZURI KWA MGONJWA

Image
 AFYA: Kisukari ni Ugonjwa unaosababishwa na UKOSEFU au UPUNGUFU wa chembechembe (HORMONE ) kwa jina la insulin. - Ugonjwa huu pia huitwa Diabetes Mellitus, maneno yanayotokana na kigiriki na kilatini.  Je, unajua dalili, madhara na matibabu ya ugonjwa huu? tupigie simu 0684450076

VYAKULA VYA KUONGEZA KINGA YA MWILI KWA HARAKA

Image
KULA VYAKULA HIVI ILI UONGEZE KINGA YA MWILI WAKO - Iliki: Huongeza madini ni kama vile potassium, calcium, chuma na manganese ambayo husaidia kuimarisha mzunguko wa damu kwenye mapafu na kuzibua mirija ya hewa - Matunda jamii ya machungwa na malimao: Matunda haya yana kiwango kikubwa cha vitamin C na virutubisho vya "flavonoids" 06 844 500 76

VYAKULA UNAPASWA KULA UKIWA NA MIAKA ZAIDI YA 40

Image
 Fahamu chakula unachopaswa kula ukiwa na zaidi ya miaka 40 Ni muhimu kwa mtu mwenye umri wa zaidi ya miaka 40 kuwa muangalifu na afya yake kwa sababu kadri mtu anavyozeeka anaweza kupungua uzito pia. Hivyo inakuwa rahisi kupata magonjwa. Mtu mwenye umri mkubwa anahitaji lishe bora ambayo itamfanya kuwa na afya na nguvu Kutokuwa makini katika lishe ukiwa na miaka hiyo , ni hatari kwa afya wakati ambao utapata magonjwa kama kisukari, presha na matatizo ya miguu kunaweza kuathiri mtu. Vyakula ambavyo mtu mwenye umri wa miaka 40 anapaswa  ni pamoja na: Samaki Mboga za majani na mizizi kama moringa, Matunda Kula uyoga badala ya nyama Vyakula vya protini kama maharage ya soya badala ya mayai Ni muhimu kufanya vipimo vya damu ili kusaidia kupunguza hatari za maambukizi, kwa mujibu wa daktari. Kupunguza kula vyakula vinavyohifadhiwa kwenye makopo 06844500760 Kupunguza matumizi ya limao ni hatari kwa afya Kupunguza kiwango cha chumvi katika chakula Kupunguza kula nyama, karanga na sia...

FAIDA ZA KULA PILIPILI HOHO KIAFYA

Image
 #AFYA: Miongoni mwa Virutubisho vinavyopatikana katika Pilipili Hoho ni Protini, Mafuta, Wanga na Nyuzinyuzi Pia, ni chanzo cha Vitamin C hasa Hoho Nyekundu, ambayo ina nguvu sana katika kutengeneza Seli Nyekundu za Damu, Mifupa na Meno Hoho inaweza kuliwa mbichi kama kachumbari au ikapikwa kama kiungo cha Chakula 06844 500 76

FAIDA ZA KULA VIAZI VITAMU KIAFYA

Image
 JIKINGE NA SARATANI PAMOJA NA KUIMARISHA AFYA YA UTUMBO KWA KULA VIAZI VITAMU Lishe bora ya viazi vitamu ni chanzo kikuu cha 'fiber' , 06844 500 76

FAIDA ZA KULA PAPAI KIAFYA

Image
 AFYA: Je, wafahamu faida za tunda la papai?  Hupunguza kuganda kwa damu, hupunguza hatari ya kupata kansa ya kibofu na juisi yake hujenga kinga ya mwili na kuzuia magonjwa ya moyo. Pia mbegu za papai hutibu homa ya matumbo (Typhoid) 0684450076

FAIDA NA UMUHIMU WA KULA TANGO KIAFYA

Image
 Umuhimu wa kula Tango!  1. Inasafisha harufu ya mdomo kwa kula mara kwa mara. 2. Inachangia kutibu baadhi ya magonjwa; mf. Kisukari, ugonjwa wa ngozi, n.k. 3. Inaongeza vitamini nyingi (A, B, C) mwilini. 4. Inaimarisha viungu vya mwili; mf. goti.  5. Inaongeza kiasi cha maji mwilini na kuimarisha kinga ya mwili. 0684450076

FAIDA ZA KUTUMIA ILIKI KIAFYA

Image
 FAIDA ZA KUTUMIA ILIKI KIAFYA > Huipa Figo uwezo wa kuondoa takamwili na kusaidia kuweka sawa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula tumboni > Iliki inasaidia kuondoa hali ya kiungulia/gesi na tatizo la kukosa choo. Saga kisha tumia unga wake kijiko 1 cha chakula ktk maji moto kwa wiki 2 > Kwa kinywa kinachotoa harufu au vidonda tumia unga uliochanganywa na maji ya uvuguvugu kisha sukutua kila siku kwa wiki 3 06844 500 76

SABABU ZA WANAWAKE KUGUA MATATIZO YA MIFUPA NA VIUNGO NA TIBA

Image
 KWANINI WANAWAKE WENGI KUANZIA MIAKA 35 HUSUMBUKA NA CHANGAMOTO ZA MIFUPA? Mwanamke anapoteza saana madini, vitamini na virutubisho kwaajili ya afya ya #mifupa kupitia vipindi hivi hapa👇 1 mwanamke anavunja ungo Damu zilizo beba vitamini, madini na virutubisho vinapotea katika kipindi hichi. 2 mzunguko wa hedhi Mwanamke baada tu ya kuvunja ungo, anaingia katika mzunguko wa hedhi ambapo huwa kila mwezi anatoa damu, inayobeba rishe ya mifupa( madini, na vitamini)  Na kufanya hii lishe inapotea kwa kiwango kikubwa na kila mwezi 3 mwanamke analea mimba Hapa mwanamke anapoteza na kukosa idadi kubwa na nyingi ya madini ya calcium, zink, magnesium, amino acid nk Kwani kiasi kikubwa cha hizi madini zinaenda mojakwamoja na kuchukuliwa na mtoto alieko tumboni kwaajili ya ukuaji na afya ya mtoto 4 kujifungua Hapa pia mwanamke anamwaga damu nyingi, na uteute ambao ni wamuhimu katika kuimalisha afya ya maungio na mifupa kwa ujumla Kwahiyo katika vipindi vyote hivi wanaweki wengi wanakuwa...

JINSI YA KONDOA SUMU MWILINI LINDA INI ,FIGO,MOYO,KONGOSHO BILA MADHARA

Image
 Moja kati ya vitu vinavyopelekea mwili kuchoka na kushambuliwa na magonjwa ni kuwa na sum nyingi mwilini hasa kwenye utumbo tunavyo ingiza na havitoki    Je unazijuwa dalili ? Zingatia sana afya pesa hazijai rafiki yangu  UTAJUWAJE KUWA KIWANGO CHA  SUMU KWENYE MWILI WAKO KIMEONGEZEKA?. Kimsingi ni Kwamba tunaingiza Sumu nyingi saana Mwilini siku hizi kutokana na Mfumo Wa maisha tunaoishi. Hewa tuvayovuta Kuna Uchafuzi Mkubwa, Vyakula tunavyokula lakini pia Madawa ya Kisasa yana Kiwango cha Kemikali Fulani. Zifuatazo ni Dalili hizi dalili 12 zinazohashiria mwili WAKO kuwa na sumu nyingi.... 1.Uzito uliozidi na Hautoki /Haupungui  kirahisi Kwa kufanya Diet au Mazoezi (Ukipungua Unarudi tena Haraka) 2.Kuchoka Ovyo Kusikoelezeka. 3.Kukosa Usingizi (Kuwa na Stress hasa Usiku) 4.Kushuka Uwezo Wa Kufikiri (Fuzzy Thinking) 5.Maumivu Ya Kichwa Mara Kwa Mara hasa Cha uso au Cha upande. 6. Kuwa na Mood mbaya Mara Kwa Mara (Kukasirika Haraka) 7. Mwili kutoa Harufu mb...

TIBA NA KINGA YA PRESHA NA MAGONJWA YA MOYO

Image
 FAIDA ZA RELIVIN TEA Ni majani ya chai yenye green tea, Luobuma tea  INAHUSIKA √ Kuondoa Stress na kushusha presha ya damu √ kuondoa uchovu na kusawazisha mapigo ya moyo √ Kuchochea mishipa ya damu kupitisha damu vizuri √ Inaondoa vikwazo vya damu kuzunguka UBORA WA BF SUMA RELIVIN TEA? • Imetengenezwa kwa vitu asilia, Luobuma tea yenye ubora wa hari ya juu • tekinolojia iliyotumika kuchanganya green tea, inasaidia kuchelewesha uzee. 06844 500 76

TIBA NA KINGA YA U.T.I ,FANGASI NA HARUFU MBAYA UKENI

Image
 WOMEN CLEANSE R KIPENZI CHA WANAWAKE Ni dawa ipo katika mfumo wa kimiminika Unasafishia ukeni usiku mara Moja   KAZI ZAKE 👉Hutibu UTI sugu 👉Hutibu Fangasi sugu 👉Inaondoa Miwasho ukeni 👉Inaondoa Harufu mbaya ukeni 👉inaondoa Uchafu unatoka ukeni 👉inasafisha na kuzibua milija ya uzazi 👉inakurinda usipate UTI na Fangasi 👉inaufanya uke unakuwa msafi na kuvutia muda wote 👉inaongeza joto la uke 👉inabana Kuta za uke zilizo legea 👉inapunguza Maumivu makali wakati wa Hedhi 👉inarudisha ute ute ukeni 👉inatibu PID ikitumika na refined, Refined ni ya vidonde unameza 👉Hurekebisha MFUMO wa mzunguko ulio vulugika kuwa sawa  Kwa maelekezo zaidi namna ya Kuipata ni rahisi Sana na hii TUNASEMA ni bidhaa ya matumizi ya nyumbani Kama sabuni au dawa ya mswaki🥰✋🏼.........  HII NI KWA AJILI YAKO NA MWENZAKO  wa.me/+255684450076

TEZI DUME KUVIMBA NA TIBA

Image
Watsapp   TIBA YA TEZI DUME BILA UPASUAJI KWA KUTUMIA SUPPLEMENT MAALUMU KWAAJILI YA SARATANI YA TEZI DUME ● FAIDA ZA VIDONGE VYA  PROSTATRELAX                             ○ Inalinda tezi na  kuzui kuongezeka kwa tezi dume ○ Inadumisha Afya ya Mkojo ○ Inaboresha ufanisi wa tendo la ndoa ○ Inaondoa maumivu ya kiuno na wakati wa kukojoa  ○ Husaidia kufika kileleni vizuri bila maumivu. ● VIUNGO ○ Prostaep-I (USA Patent) ● NANI ANATUMI ○ Wanaume wenye shida ya tezi dume haswa wenye umri zaidi ya miaka 40. ○ Wanaume wenye shida ya kukojoa vizuri ○ Wenye shida za nguvu ya kiume. °> Na Wanaume Wenye Shida Ya Mbegu. ( Sperm ). ● MATUMIZI ○ Vidonge 2 mala 3 kwa siku. ○ Ukitumia kwa muda mrefu ( miezi 3 ) bila kuacha zinamatokeo mazuri zaidi - Ikiwemo Kuponya Tezi Dume Iliyovimba Bila Kufanya Upasuaji. *PROSTATE RELAX Furaha Ya Mwanaume. Whatsapp/    Share kwenye Magroup Ndugu jamaa na MARAFIKI ...