FAIDA ZA KULA PILIPILI HOHO KIAFYA
#AFYA: Miongoni mwa Virutubisho vinavyopatikana katika Pilipili Hoho ni Protini, Mafuta, Wanga na Nyuzinyuzi
Pia, ni chanzo cha Vitamin C hasa Hoho Nyekundu, ambayo ina nguvu sana katika kutengeneza Seli Nyekundu za Damu, Mifupa na Meno
Hoho inaweza kuliwa mbichi kama kachumbari au ikapikwa kama kiungo cha Chakula
06844 500 76
Comments
Post a Comment