JINSI YA KUREJESHA HEDHI ILIYO KWAMA NA ASIYE PATA HEDHI BILA SABABU ZA MSINGI
Kitunguu maji, asali na limao ni dawa nzuri ya kusaidia kutoa hedhi nje iliyokwama
Pia kitunguu maji,
asali na limao ni dawa nzuri pia kwa mtu mwenye matatizo ya kupumua (asthma)
Chukua vitunguu maji viwili vya wastani, katakata na kuchemsha kwa dakika tano kwenye maji yenye ujazo wa nusu lita kisha ipua na ukamulie limao kisha mimina vijiko kadhaa vya asali
Utakunywa glass moja asubuhi na jioni kwa siku 3 km hedhi imekwama itaanza kutoka
Kwa mgonjwa wa pumu fanya hivyo kwa mwezi mzima kisha utajiskilizia wapi umefikia
Karibu Sana, THABIT HERBAL CLINIC...
Tunawasaidia wanawake kutatua changamoto za uzazi kama Fangasi, P.I.D sugu, Kuzibua Mirija ya Uzazi, Vivimbe, Matatizo ya Hedhi, Mvurugiko wa Homoni n.k
Tuandikie changamoto yako ya uzazi kwenda WhatsApp namba
0684 450 076 , Dr Thabit
—
Pia unaweza kuitumia phyto Ganoderma essense:-
Ni Tiba Asilia Ambayo:-
........ Inasafisha via vya uzazi yaani inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi, kuondoa majimaji na uchafu na maambukizi yote ya bakteria / fangasi (P.I.D)
. Inaondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, ovarian cyst)
. Inaondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi kama unapata tatizo la kukosa hisia, kuwa mkavu ukeni wakati wa tendo, hedhi kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, hedhi kutoka mabonge, hedhi kuambatana na maumivu makali (chango) na inakusaidia kupevusha mayai siku za ovulation
Unaipata Ganoderma essence kwa bei rafiki kabisa ya Tsh 85,000/= tu
Hakuna gharama ya usafirishaji, yaani ni free delivery mpaka ulipo( Offer kwa ndani ya week hii pekee).
Tupo mlimani Tower Dar Es Salaam, Tanzania
Kwa mawasiliano zaidi kuhusu dawa, Ushauri na afya ya uzazi,
WhatsApp 0684450076
Comments
Post a Comment