Njia za Kutibu Kutokwa na Damu Kwenye Fizi
AFYA: FANYA YAFUATAYO KUJITIBU KUTOKWA NA DAMU KWENYE FIZI
> Ugonjwa wa ufizi huathiri ufizi na huweza kusambaa kwenye mifupa inayoshikilia meno. Hii ni mojawapo ya sababu ambazo hufanya watu kupoteza meno. Ni vema kutibiwa kabla ya kusababisha madhara makubwa
> Tumia mswaki laini, badili mswaki kila baada ya miezi mitatu, usichokonoe meno mara kwa mara na epuka uvutaji wa Sigara na Tumbaku
> Kula mboga za Majani, Matunda na vyakula vyenye Vitamini C na K kwa wingi na ikiwezekana onana na Daktari kwa ajili ya matibabu zaidi
Ushauri zaidi na matibabu Tupigie
0684450076
Watsapp
Comments
Post a Comment