FAIDA ZA KUTUMIA KARAFUU KIAFYA
MATUMIZI YA KARAFUU KATIKA TIBA
Tafiti zinasema karafuu ni miongoni mwa viungo muhimu vyenye faida nyingi kiafya kama , husaidia usagaji mzuri wa chakula, tumbo kujaa gesi, inaimarisha afya ya mifupa pia huleta hamu ya kula chakula. Pamoja na faida zote hizo karafuu ina faida kwenye afya ya uzazi wa mwanamke na mwanaume pia.
1️⃣Karafuu ni nzuri kwa mwanamke mwenye changamoto ya kuziba kwa mirija
2️⃣Karafuu ina sifa ya kurudisha hedhi ( period) iliyokata muda mrefu
3️⃣Karafuu ina sifa ya kuzuia na kuyeyusha uvimbe wowote kwenye kizazi ( ovarian cyst & fibroids)
4️⃣karafuu inasaidia zoezi la kupevusha mayai hivyo hurahisisha zoezi la kubeba ujauzito
5️⃣Karafuu ina sifa ya kuzuia na kutibu kansa ya kizazi ( cervical cancer)
MATUMIZI
Tumia juisi ya karafuu.
Chukua karafuu vijiko vitatu kisha loweka kwenye maji lita moja jioni. Kesho asubuhi chuja yote makapi tupa.
Kunywa juisi hii asubuhi glass moja na jioni glass moja kwa siku 30 mfululizo.
Ahsante 🙏🙏
karibu katika groups la Thamani ya Afya Accademy tujifunze bure kabisa
Gusa links kama bado hauja jiunga kwenye groups
Comments
Post a Comment