SABABU ZA WANAWAKE KUGUA MATATIZO YA MIFUPA NA VIUNGO NA TIBA

 KWANINI WANAWAKE WENGI KUANZIA MIAKA 35 HUSUMBUKA NA CHANGAMOTO ZA MIFUPA?


Mwanamke anapoteza saana madini, vitamini na virutubisho kwaajili ya afya ya #mifupa kupitia vipindi hivi hapa👇


1 mwanamke anavunja ungo


Damu zilizo beba vitamini, madini na virutubisho vinapotea katika kipindi hichi.


2 mzunguko wa hedhi


Mwanamke baada tu ya kuvunja ungo, anaingia katika mzunguko wa hedhi ambapo huwa kila mwezi anatoa damu, inayobeba rishe ya mifupa( madini, na vitamini) 

Na kufanya hii lishe inapotea kwa kiwango kikubwa na kila mwezi


3 mwanamke analea mimba


Hapa mwanamke anapoteza na kukosa idadi kubwa na nyingi ya madini ya calcium, zink, magnesium, amino acid nk

Kwani kiasi kikubwa cha hizi madini zinaenda mojakwamoja na kuchukuliwa na mtoto alieko tumboni kwaajili ya ukuaji na afya ya mtoto


4 kujifungua


Hapa pia mwanamke anamwaga damu nyingi, na uteute ambao ni wamuhimu katika kuimalisha afya ya maungio na mifupa kwa ujumla


Kwahiyo katika vipindi vyote hivi wanaweki wengi wanakuwa wanasumbuka na matatizo ya mifupa, kwa sababu ya upungufu na ukosefu wa 👇


Madini ya kuimalisha mifupa


Vitamin na Uteute kwaajili ya maungio(glucosamine hydrochloride) na chondrotine


Kwahiyo sasa katika matibabu wengi tunahangaikia changamoto kwa kuhudhuria clinics za mifupa bila kujua kiini na chanzo cha cha changamoto


Na huwezi kupona changamoto yako kama hujajua kiini 


TUWASILIANE NIKUSAIDIE


AHSANTE 🙏


Mshauri na mtoa elimu ya tiba lishe kutoka BF SUMA☎️📞+255684450076


Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU SIRI ZA DAWA ZA VIDONDA VYA TUMBO

NMN KUTIBU SUKARI,PRESHA,TEZI DUME NA NI ANT_AGING

JINSI YA KUPIKA MBOGA ZA MAJANI KUPATA VIRUTUBISHI VYAKE NA FAIDA ZAKE