HESHIMA YA NDOA NI KUWA NA AFYA NA NGUVU ZA KIUME FAHAMU .WANAMKE ANAVYO PUNGUZA NGUVU
Jinsi Mwanamke anavyoweza Kukusababishia Ukapoteza Hamu Ya Tendo na Uwezo wa KushirikiTendo la Ndoa
Ukitafakari kwa haraka utakosa jibu, lakini ukiendelea kusoma makala haya utaelewa kwa nini wanahusika na wanatakiwa kufanya nini ili angalau kuipunguza aibu hii inayowakosesha raha wanaume wengi.
1. UBUNIFU
Inaelezwa kuwa wanawake hasa waliopo kwenye ndoa au Mahusiano kwa muda mrefu, hupunguza ubunifu/ utundu kitandani na hivyo kuwafanya waliokuwa nao kuwaona tofauti na kupunguza hamu ya kujamiiana.
2. KAULI
Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litampelekea kupotea nguvu za kiume taratibu.
Msaada unaohitajika kwa mwanamke anayekutana na mwanaume dhaifu kwenye tendo si kumwambia hawezi, bali ni kumtia moyo na kumsaidia kuweza. Wanawake wamewasababishia waume zao upungufu wa nguvu za kiume kwa kuwaambia maneno kama haya: “Yaani siku hizi sijui umekuwaje, yaani huwezi kazi kabisa!”
3. UJUZI
Pamoja na wanawake wengi kutokuwa wajuzi, lakini wapo wengine ambao ni watundu mno kwenye sita kwa sita kiasi cha kumfanya mwanaume ajione kama mgeni wa mchezo huo.
Kimtazamo, wanaume hupenda sana ushindi wakati wa ‘kazi’, lakini pale wanapogeuzwa ‘chekechea’ hupunguza uwezo wa kujiamini na kuruhusu hofu kuongezeka mawazoni mwao, hivyo kuwasababishia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
4. USAFI
Mwanamke anapokuwa si msafi, huweza kumsababishia mwanaume matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume. Sote tunafahamu umuhimu wa usafi wa mwili na kero za uchafu wakati wa tendo, hivyo ni wazi kuwa mwanamke akiwa mchafu atamfanya mwanaume apoteze msisimko na uwezo wa tendo la ndoa. Unadhifu wa mavazi na mwili ni muhimu sana katika mapenzi.
5. GUBU
Jambo lingine linaloweza kumsababishia mwanaume upungufu wa nguvu za kiume ni Mwanamke anapokuwa mwingi wa maneno ya kashfa, dharau na matusi huweza kumfanya mume amchukie na kutopenda kushiriki naye tendo.
6. USALITI
Tabia ya usaliti kwa mwanamke ni chanzo kingine cha mwanaume kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Mwanaume anapoona, kuhisi au kubaini kuwa anasalitiwa, huumia sana moyoni, maumivu ambayo hatimaye humfanya muhusika kuwa na mawazo mengi ambayo humuondolea hamu ya tendo.
Ila ni vyema sana kwa Mwanaume kuhakikisha kwamba afya yako ya Uzazi ipo vizuri! Kabla hujakutana na mwenzio mchezoni!
Kama unachangamoto ya Upungufu wa nguvu za Kiume na imekusumbua Kwa mda mrefu!
Karibu upate Tiba ya virutubisho Lishe vitakavyokusaidia kujiamini wakati upo na Mwanamke wako!
Nakwako wewe mwanamke msaidie mweza wako apate matibau uendelee kufurahia ndoa yako
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA KUHUSIANA NA AFYA YA UZAZI.
TUWASILIANE KWA NAMBA 👇🏽👇🏽👇🏽
𝐂𝐀𝐋𝐋/ 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏
0684450076
Comments
Post a Comment