FANYA HAYA KUONDOA MIWASHO UKENI BILA DAWA
Katika hali ya kawaida mwanamke anaweza kuhisi muwasho ukeni mara moja moja.
Hali hiyo ikiwa ya muda mrefu au ya kujirudiarudia inaweza kua imesababishwa na fangasi ukeni,allergy ukeni,Maamukizi ya bakiteria nk
Kama nilivyoeleza katika post zilizopita kua ukeni kuna bakiteria wazuri na bakiteria wabaya ..
wale wazuri hua ni wengi kuliko wabaya ..
Inapotokea bakiteria wazuri wakapungua hupelekea bakiteria wabaya kuongezeka pamoja na fangasi.
Sababu za muwasho zinaweza kua:-
-kuosha uke kwa sabuni kali(medicated soap)
-Kuvaa nguo za kubana kama tight,au chupi zinazobana.
-Kutobadilisha ped mara kwa mara unapokua period
-Unapofika ukomo wa hedhi kiwango cha homoni ya oestrogen hupungua na kusababisha uke kusinyaa na kua na miwasho.
-Hali hii pia inaweza kutokea kama una stress mara kwa mara nk
Matibabu yake hutegemea na chanzo cha tatizo
-Na sio kila muwasho ni fangasiā¦
-Muwasho mwingine unasababishwa na aleji
Matibabu kama muwasho ni wa fangasi huwa ni dawa za kupaka za fangasi za kupachika ukeni , au vidonge vya kumeza.
-kama ulisha tumia na huja pona ama una tatizo hilo tuwasiliane
Umejifunza kitu, post hii Itakusaidia kwa Matumizi ya Baadae,
Kwa msaada wa haraka wa changamoto zote za Afya ya Uzazi kwa Mwanamke, Mwanaume
NITUMIE UJUMBE WHATSAPP
06 844 500 76
Comments
Post a Comment