BADHI YA VYAKULA VINAVYO ONGEZA DAMU FAHAMU
BAADHI YA VYAKULA VINAVYOONGEZA DAMU MWILINI
Baadhi ya Matunda na Mbogamboga kama Matembele, Spinachi, Broccoli au Sukuma Wiki husaidia kwa kiwango kikubwa kuongeza Damu.
Pia unaweza kusaga Matembele kuwa Juisi
Pendelea kula Vyakula vyenye vyanzo vizuri vya Madini Chuma kama Maharage, Samaki, Nyama na Maini.
Pia, Juisi ya Rozella na Tikiti Maji
Comments
Post a Comment