FAIDA NA UMUHIMU WA KULA TANGO KIAFYA

 Umuhimu wa kula Tango! 


1. Inasafisha harufu ya mdomo kwa kula mara kwa mara.

2. Inachangia kutibu baadhi ya magonjwa; mf. Kisukari, ugonjwa wa ngozi, n.k.

3. Inaongeza vitamini nyingi (A, B, C) mwilini.

4. Inaimarisha viungu vya mwili; mf. goti. 

5. Inaongeza kiasi cha maji mwilini na kuimarisha kinga ya mwili.


0684450076


Comments