VYAKULA UNAPASWA KULA UKIWA NA MIAKA ZAIDI YA 40
Fahamu chakula unachopaswa kula ukiwa na zaidi ya miaka 40
Ni muhimu kwa mtu mwenye umri wa zaidi ya miaka 40 kuwa muangalifu na afya yake kwa sababu kadri mtu anavyozeeka anaweza kupungua uzito pia.
Hivyo inakuwa rahisi kupata magonjwa.
Mtu mwenye umri mkubwa anahitaji lishe bora ambayo itamfanya kuwa na afya na nguvu
Kutokuwa makini katika lishe ukiwa na miaka hiyo , ni hatari kwa afya wakati ambao utapata magonjwa kama kisukari, presha na matatizo ya miguu kunaweza kuathiri mtu.
Vyakula ambavyo mtu mwenye umri wa miaka 40 anapaswa ni pamoja na:
Samaki
Mboga za majani na mizizi kama moringa,
Matunda
Kula uyoga badala ya nyama
Vyakula vya protini kama maharage ya soya badala ya mayai
Ni muhimu kufanya vipimo vya damu ili kusaidia kupunguza hatari za maambukizi, kwa mujibu wa daktari.
Kupunguza kula vyakula vinavyohifadhiwa kwenye makopo
06844500760
Kupunguza matumizi ya limao ni hatari kwa afya
Kupunguza kiwango cha chumvi katika chakula
Kupunguza kula nyama, karanga na siagi
ushauri zaidi nipigie simu 0684450076
Comments
Post a Comment