FAIDA ZA MAZIWA MTINDI KIAFYA
AFYA: Maziwa Mtindi huwa na Protini nyingi, Calcium, Vitamini, na Bakteria wazuri ambao husaidia kubadilisha Sukari. Mtindi husaidia kutoa ulinzi kwenye Mifupa na Meno na pia kuzuia matatizo ya Usagaji wa Chakula
Aidha, Mtindi umeonesha kuwa na uwezo mkubwa wa kutoa kinga dhidi ya Maradhi ya kuambukiza Ukeni (Vaginal infections)
ushauri na matibabu zaidi
0684450076
Comments
Post a Comment