MALALAMIKO YA WANAWAKE KWA WANAUME NGUVU ZA KIUME
Tunako elekea wanaume tutakosa vyote maana, Ukiona mwanamke anakulalamikia hisia zake huzikati na bado Kiuchumi napo unabweteka kuchakalika” .Ujue kwamba Unako elekea Utakosa Vyote na hautakuwa na matumizi ya binadamu yeyote.
.
Mwanaume Jitahidi sana:
1. Kutafuta kwa Nguvu na akili zako zote
2. Pesa unayopata Usitumie kubomoa mwili wako maana zitakupokonya uanaume wako.
3. Epuka maisha ya hanasa sio mazuri yanafubaza kiwili wili chako mapema sana.
4. Mwisho wa siku utapata vigezo vyote wanawake wanataka. Uwe na pesa ya kumtunza sio utunzwe. Na Kingine zaidi Usipate malalamiko ya Hisia zake inapokuja kwenye uwanja wa Fundi seremala.
.
Hali sasa ni mbaya na malalamiko ni Chungu nzima. Hebu turudi kwenye Utaratibu huo hapo Juu.
06 844 500 76
Comments
Post a Comment