FAHAMU SIRI ZA DAWA ZA VIDONDA VYA TUMBO
.jpeg)
Vidonda vya tumbo ! Siku zote ukiwa mjinga wewe ndio utakaofanya wajanja kula wapo watu wengi wamekuwa wakinywa dawa za hospital kila siku wakiamini kuwa wanaweza kupona vidonda vya tumbo. Siku ukija kupona vidonda vya tumbo kwa dawa za hospital wenda akili yangu haipo Ok Siri ya dawa hizo ni kumdaganya mteja anayekuja kununua dawa za vidonda vya tumbo kwa kumpa dawa ambazo kazi yake ni kupunguza gas na acidic tumboni na tena unaweza pewa dawa za mwezi mzima ukawa ukizitumia unaona upo safi kabisa tena mzima wa Afya ila baada ya dozi kuisha tatizo kitatulia kidogo kisha linakuja tena. Kile msichokijua ni hivi unapokuwa umezimeza dawa za hospital za kutuliza maumivu ya vidonda vya tumbo kwanza tambua tatizo ndio kwanza litakuja kuongezeka zaidi ya hapo. Kuna watu wao wakisikia tumbo linauma ndio kwanza wanakimbilia dawa za kutuliza maumivu ya tumbo Hawa ndio wapo KWENYE tatizo kubwa zaidi maana ndio wanaharibu mfumo mzima wa uzalishaji wa hyd acid kwenye tumbo na mbaya zaidi ...