Posts

Showing posts with the label dawa

SABABU ZA SHINGO KUKAZA NA KUUMA

Image
 LEO tutaangazia maumivu ya shingo tatizo ambalo watu wengi nchini limewahi kuwapata katika maisha yao ya kila siku.   Tatizo hilo huwa na maumivu ya wastani mpaka makali yasiyovumilika.  Ukiizungumzia shingo kisayansi ni kwamba kwa ujumla imeundwa na pingili za vifupa vidogo vilivyoanzia katika fuvu la kichwa. Katika ya vifupa hivyo huwa na pingili kama santuri plastiki kitaalamu huitwa cervical disc ambazo hukaa kati ya pingili moja na nyingine kazi yake ni kunyonya shinikizo la uzito na kuzuia msagiko.  Vifupa, nyuzi ngumu za ligamenti na misuli ya shingo kazi yake ni kutoa msaada kwa kichwa na kuwezesha miendo mbalimbali ikiwamo pembeni na kujizungusha. Hivyo basi hitilafu yoyote, shambulizi au majeraha yakitokea ya aina yoyote yakitokea yanaweza kusababisha maumivu makali ya shingo. Chanzo kikubwa cha kujitokeza kwa tatizo hili ni kujeruhiwa kwa misuli ya shingo pale unapokuwa umelala vibaya kama vile wakati wakulala usiku, wakati wa kucheza au mazoezi, kut...

FAHAMU SIRI ZA DAWA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Image
 Vidonda vya tumbo ! Siku zote ukiwa mjinga wewe ndio utakaofanya wajanja kula wapo watu wengi wamekuwa wakinywa dawa za hospital kila siku wakiamini kuwa wanaweza kupona vidonda vya tumbo. Siku ukija kupona vidonda vya tumbo kwa dawa za hospital wenda akili yangu haipo Ok  Siri ya dawa hizo ni kumdaganya mteja anayekuja kununua dawa za vidonda vya tumbo kwa kumpa dawa ambazo kazi yake ni kupunguza gas na acidic tumboni na tena unaweza pewa dawa za mwezi mzima ukawa ukizitumia unaona upo safi kabisa tena mzima wa Afya ila baada ya dozi kuisha tatizo kitatulia kidogo kisha linakuja tena. Kile msichokijua ni hivi unapokuwa umezimeza dawa za hospital za kutuliza maumivu ya vidonda vya tumbo kwanza tambua tatizo ndio kwanza litakuja kuongezeka zaidi ya hapo. Kuna watu wao wakisikia tumbo linauma ndio kwanza wanakimbilia dawa za kutuliza maumivu ya tumbo Hawa ndio wapo KWENYE tatizo kubwa zaidi maana ndio wanaharibu mfumo mzima wa uzalishaji wa hyd acid kwenye tumbo na mbaya zaidi ...