FAHAMU UGONJWA WA P.I.D NA VYAKULA TIBA

UJUE UGONJWA WA P.I.D NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE PID( Pelvic Inflammatory Disease ) Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS) Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D 1.Kupitia ngono zembe 2.Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja 3.Kufanya mapenzi bila kutumia kinga 4.Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono 5.Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara 6.Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba 7.Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako 8.Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano) 9.Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu DALILI ZA UGONJWA WA P.I.D 1.Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa ...