JINSI YA KONDOA SUMU MWILINI LINDA INI ,FIGO,MOYO,KONGOSHO BILA MADHARA

 Moja kati ya vitu vinavyopelekea mwili kuchoka na kushambuliwa na magonjwa ni kuwa na sum nyingi mwilini hasa kwenye utumbo tunavyo ingiza na havitoki 

 

Je unazijuwa dalili ? Zingatia sana afya pesa hazijai rafiki yangu 


UTAJUWAJE KUWA KIWANGO CHA  SUMU KWENYE MWILI WAKO KIMEONGEZEKA?.


Kimsingi ni Kwamba tunaingiza Sumu nyingi saana Mwilini siku hizi kutokana na Mfumo Wa maisha tunaoishi. Hewa tuvayovuta Kuna Uchafuzi Mkubwa, Vyakula tunavyokula lakini pia Madawa ya Kisasa yana Kiwango cha Kemikali Fulani. Zifuatazo ni Dalili hizi dalili 12 zinazohashiria mwili WAKO kuwa na sumu nyingi....


1.Uzito uliozidi na Hautoki /Haupungui  kirahisi Kwa kufanya Diet au Mazoezi (Ukipungua Unarudi tena Haraka)


2.Kuchoka Ovyo Kusikoelezeka.


3.Kukosa Usingizi (Kuwa na Stress hasa Usiku)


4.Kushuka Uwezo Wa Kufikiri (Fuzzy Thinking)


5.Maumivu Ya Kichwa Mara Kwa Mara hasa Cha uso au Cha upande.


6. Kuwa na Mood mbaya Mara Kwa Mara (Kukasirika Haraka)


7. Mwili kutoa Harufu mbaya. (Jasho Kali saana, mdomo  au Kutoa Choo Chenye Harufu Kali kuliko Kawaida.


8. Kupata Choo Kigumu (Kukosa Choo Kwa Siku Kadhaa) au kupata Mara moja Kwa siku nzima wakati umekula zaidi ya Mara 2.


9.Maumivu ya Misuli yasiyoelezeka.


10. Ngozi Kukosa Nuru


11. Kuwa Sensitive saana na Harufu na Kuhisi Harufu nyingi zinakuumiza


12. Kuwa na Hamu kubwa ya Vyakula hasa vyenye Mafuta Mengi, Sukari nyingi na Chumvi Nyingi.


Kama Una Kati ya Dalili Kuanzia 3 kati ya Hizi tambua Kuwa Mwili wako unahitaji Kuondolewa Sumu. Tunahuduma nzuri saana ya Bidhaa Lishe ya Kuondoa Sumu Mwilini...Usipofanya Hivyo, Tarajia matatizo Makubwa kwenye afya yako siku za Usoni


suruhisho ni Detoxilive

piga


0684450076


Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU SIRI ZA DAWA ZA VIDONDA VYA TUMBO

NMN KUTIBU SUKARI,PRESHA,TEZI DUME NA NI ANT_AGING

JINSI YA KUPIKA MBOGA ZA MAJANI KUPATA VIRUTUBISHI VYAKE NA FAIDA ZAKE