Posts

Showing posts with the label tiba

TIBA YA KWIKWI UKIWA NYUMBANI

Image
   Tiba ya kwikwi kwa kutumia kitunguu maji (anion): Kitunguu maji(anion)  ni Mujarrab sana kwa magonjwa mengi likiweo tatizo la kwikwi. Tiba ya kwikwi kupitia kitunguu maji ni kama ifuatavyo: Kata kata kisha ponda kitunguu maji kutumia kinu, blender, au chochote kile hadi kipondeke vizuri. Weka chumvi na maji machache kisha changanya vizuri Kamua na kisha chuja mchanganyiko wako upate juisi. Weka kwenye Chombo safi kisha kunywa utapata matokeo mazuri hapo hapo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Tiba hii ni Mujarrabu sana hata kwa kwikwi ya aina gani. Kwa taaluma zinazohusu tiba kwa njia asili, endelea kufuatilia mada zetu pia usisahau kuwashirikisha wengine ili nao wapate faida hii Karibu group la Watsapp 0684450076

FAHAMU UGONJWA WA P.I.D NA VYAKULA TIBA

Image
 UJUE UGONJWA WA P.I.D NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE   PID( Pelvic Inflammatory Disease )  Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS)   Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D   1.Kupitia ngono zembe 2.Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja 3.Kufanya mapenzi bila kutumia kinga 4.Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono 5.Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara 6.Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba 7.Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako 8.Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano) 9.Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu DALILI ZA UGONJWA WA  P.I.D 1.Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa ...

TEZI DUME KUVIMBA NA TIBA

Image
Watsapp   TIBA YA TEZI DUME BILA UPASUAJI KWA KUTUMIA SUPPLEMENT MAALUMU KWAAJILI YA SARATANI YA TEZI DUME ● FAIDA ZA VIDONGE VYA  PROSTATRELAX                             ○ Inalinda tezi na  kuzui kuongezeka kwa tezi dume ○ Inadumisha Afya ya Mkojo ○ Inaboresha ufanisi wa tendo la ndoa ○ Inaondoa maumivu ya kiuno na wakati wa kukojoa  ○ Husaidia kufika kileleni vizuri bila maumivu. ● VIUNGO ○ Prostaep-I (USA Patent) ● NANI ANATUMI ○ Wanaume wenye shida ya tezi dume haswa wenye umri zaidi ya miaka 40. ○ Wanaume wenye shida ya kukojoa vizuri ○ Wenye shida za nguvu ya kiume. °> Na Wanaume Wenye Shida Ya Mbegu. ( Sperm ). ● MATUMIZI ○ Vidonge 2 mala 3 kwa siku. ○ Ukitumia kwa muda mrefu ( miezi 3 ) bila kuacha zinamatokeo mazuri zaidi - Ikiwemo Kuponya Tezi Dume Iliyovimba Bila Kufanya Upasuaji. *PROSTATE RELAX Furaha Ya Mwanaume. Whatsapp/    Share kwenye Magroup Ndugu jamaa na MARAFIKI ...