TIBA YA KWIKWI UKIWA NYUMBANI

Tiba ya kwikwi kwa kutumia kitunguu maji (anion): Kitunguu maji(anion) ni Mujarrab sana kwa magonjwa mengi likiweo tatizo la kwikwi. Tiba ya kwikwi kupitia kitunguu maji ni kama ifuatavyo: Kata kata kisha ponda kitunguu maji kutumia kinu, blender, au chochote kile hadi kipondeke vizuri. Weka chumvi na maji machache kisha changanya vizuri Kamua na kisha chuja mchanganyiko wako upate juisi. Weka kwenye Chombo safi kisha kunywa utapata matokeo mazuri hapo hapo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Tiba hii ni Mujarrabu sana hata kwa kwikwi ya aina gani. Kwa taaluma zinazohusu tiba kwa njia asili, endelea kufuatilia mada zetu pia usisahau kuwashirikisha wengine ili nao wapate faida hii Karibu group la Watsapp 0684450076