KINGA NA USHAURI USIJE UGUWA SARATANI YA MAPAFU
Jinsi Ya Kujikinga Na Kansa Ya Mapafu:
Takwimu za epidem
iolojia zinaonesha kufanya mambo yafuatayo kunapunguza maradufu hatari ya kupata kansa ya mapafu;
1) Epuka uvutaji wa sigara au kupumua moshi wa watu wengine wanaovuta.
2) Punguza au epuka kabisa kukutana gesi ya radon.
3) Epuka kukutana na kemikali zinazosababisha kansa ya mapafu unapokua mahali pa kazi au mahali pengine.
4) Kula chakula bora, matunda na mboga za majani kwa wingi.
5) Kwa wavutaji wa sigara wa sasa au wa zamani, watumie dozi kubwa ya vitamini au madawa yenye vitamini nyingi.
HITIMISHO:
Kwa msaada wa tiba na ushauri wa magonjwa ya afya yasiyo ya mlipuko wasiliana nasi kwa simu namba
06 844 500 76
Comments
Post a Comment