FAIDA ZA KULA PAPAI KIAFYA

 AFYA: Je, wafahamu faida za tunda la papai? 


Hupunguza kuganda kwa damu, hupunguza hatari ya kupata kansa ya kibofu na juisi yake hujenga kinga ya mwili na kuzuia magonjwa ya moyo.

Pia mbegu za papai hutibu homa ya matumbo (Typhoid)


0684450076


Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU SIRI ZA DAWA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Nguvu za Kiume na Tiba

Faida Za mboga za Majani