VYAKULA VYA KUONGEZA KINGA YA MWILI KWA HARAKA
KULA VYAKULA HIVI ILI UONGEZE KINGA YA MWILI WAKO
- Iliki: Huongeza madini ni kama vile potassium, calcium, chuma na manganese ambayo husaidia kuimarisha mzunguko wa damu kwenye mapafu na kuzibua mirija ya hewa
- Matunda jamii ya machungwa na malimao: Matunda haya yana kiwango kikubwa cha vitamin C na virutubisho vya "flavonoids"
Comments
Post a Comment