FAHAMU:NAMNA YA KUPIKA MBOGA ZA MAJANI Watu wanakula mboga za majani kwa lengo la kupata kiburudisho na wengine ili siku iende tuu. Wengi wanakosea kupika mboga za majani ili kupata virutubisho kama vitamins na madini chuma Zingatia haya ukiwa unapika mboga 1.Osha mboga za majani kwa maji safi kabla ya kuzikatakata. Kamwe usioshe baada ya kuzikatakata 2. Pika kwa muda mchache. Virutubisho vyake ni heat labile; ukichemsha sana vinaharibika. 3. Pika ukiwa umefunika kwa mfuniko. Kuacha wazi kutapoteza virutubisho 4. Usipike chukuchuku (bila mafuta); virutubisho vinavyopatikana kwenye mbogamboga vinahitaji kiasi cha mafuta ili kimeng'enywe na kuingia kwenye mfumo wa damu wa mlaji. Hivyo, ukila bila kuweka mafuta, unapoteza virutubisho vingi. Weka mafuta salama kwa mlaji hata kijiko kimoja tu. Gusa hapa chati nami Watsapp FAIDA ZA KULA MBOGA ZA MAJANI 1. Kupata virutubisho muhimu kama vitamins ili kusaidia kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili na mfumo wa fa...
Matokeo 6 katika mwili wako kama ukila ndizi 2 kila siku.! - Ndizi zina virutubisho vingi kama vile vitamini, nyuzinyuzi, protini, wanga, madini ya chuma na virutubisho vya sukari kama ‘Sucrose’ na ‘Fructose’. Wataalam wa lishe wanasema kula ndizi mbili kwa siku kwa muda wa mwezi tu, afya yako itaimalika. - Bila shaka kuna faida nyingi lakini hapa zipo 6 kati ya nyingine nyingi; - 1. Kuondokana na tatizo la Kiungulia. Ndizi kiasili sio tunda lenye asidi kwa wingi, ikumbukwe kuwa kiungulia husababishwa na uwepo wa asidi nyingi mwilini. Hivyo ndizi ni tiba kwa wote ambao wanasumbuliwa na kiungulia. Kula japo ndizi moja kwa siku basi itatuliza haraka na kuondoa dalili zote za kiungulia. - 2. Kuondoa Presha. Ndizi pia zina wingi wa madini ya ‘Sodiam’ na ‘Potassium’ ambayo huweka sawa presha ya damu na kuimarisha afya ya moyo. Madini hayo pia husaidia kutanua misuli ya moyo ili kufanya kazi zake kwa urahisi. - 3. Kuongeza Nguvu. Endapo utakula ndizi mbili ...
Comments
Post a Comment