ONDOA KINYAMA ,UVIMBE ENEO LA HAJA KUBWA NA MAUMIVU BILA MADHARA

TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE BILA UPASUAJII BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE ➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa *CHANZO CHA BAWASIRI* ➖ Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva ➖ Tatizo sugu la kuharisha ➖ Ujauzito ➖ Uzito wa mwili kupita kiasi ➖ Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa) ➖ Kupata haja kubwa ngumu ➖ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni ➖ Kunywa pombe ➖ Kula sana nyama nyekundu ➖ Vidonda vya tumbo ➖ Ngiri(Chango/Hernia ➖ Kula sana pilipili ➖ Kunyanyua vitu vizito *DALILI ZA BAWASIRI * ➖ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa ➖ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa ➖ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa ➖ Kupata kinyesi chenye damu ➖ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa ➖ kutokwa na uteute sehemu ya haja...