Posts

Nguvu za Kiume na Tiba

Image
 JE, UNAKUMBWA NA CHANGAMOTO YA KUKOSA NGUVU NA HAMU YA TENDO? ✔ Baada ya tendo, unajikuta hauna hamu tena? ✔ Unahisi mwili unakosa nguvu, na hata ukitaka kuendelea, mambo hayaendi sawa? ✔ Lakini baadaye, ukiwa mbali na mwenzi wako, unajihisi umechangamka tena? USIHANGAIKE! Hii inasababishwa na upungufu wa virutubisho muhimu mwilini, kama vile protini, madini ya zinki, chuma, magnesium, na selenium. Bila hivi, mifumo ya mwili inayohusika na nguvu za kiume haiwezi kufanya kazi vizuri. Habari njema ni kwamba suluhisho lipo! ✅ ✔ Tunayo dozi maalum ya virutubisho vya asili itakayokusaidia kurejesha nguvu zako kwa njia salama na ya kudumu. ✔ Imeundwa kwa viambato asilia vyenye mchanganyiko sahihi wa virutubisho unavyohitaji. Chagua kiwango kinachokufaa: 🔹 Robo dozi – Tsh 155,000/- 🔹 Nusu dozi – Tsh 205,000/- 🔹 Dozi kamili – Tsh 385,000/- 📩 Pata maelezo zaidi au fanya oda sasa! 📞 WhatsApp/Call: 0684 450 076

SABABU ZA SHINGO KUKAZA NA KUUMA

Image
 LEO tutaangazia maumivu ya shingo tatizo ambalo watu wengi nchini limewahi kuwapata katika maisha yao ya kila siku.   Tatizo hilo huwa na maumivu ya wastani mpaka makali yasiyovumilika.  Ukiizungumzia shingo kisayansi ni kwamba kwa ujumla imeundwa na pingili za vifupa vidogo vilivyoanzia katika fuvu la kichwa. Katika ya vifupa hivyo huwa na pingili kama santuri plastiki kitaalamu huitwa cervical disc ambazo hukaa kati ya pingili moja na nyingine kazi yake ni kunyonya shinikizo la uzito na kuzuia msagiko.  Vifupa, nyuzi ngumu za ligamenti na misuli ya shingo kazi yake ni kutoa msaada kwa kichwa na kuwezesha miendo mbalimbali ikiwamo pembeni na kujizungusha. Hivyo basi hitilafu yoyote, shambulizi au majeraha yakitokea ya aina yoyote yakitokea yanaweza kusababisha maumivu makali ya shingo. Chanzo kikubwa cha kujitokeza kwa tatizo hili ni kujeruhiwa kwa misuli ya shingo pale unapokuwa umelala vibaya kama vile wakati wakulala usiku, wakati wa kucheza au mazoezi, kut...

Dalili za Monopozi Kwa Mwanamke

Image
Menoposi ni kipindi katika maisha ya mwanamke ambapo hedhi huacha na hawezi tena kupata mimba kwa njia ya kawaida. Kipindi hiki mara nyingi hutokea kati ya umri wa miaka 45 hadi 55. Dalili zinazohusiana na menoposi ni mabadiliko ya kimwili na kiakili yanayojitokeza kutokana na kupungua kwa homoni za kike, hasa estrogeni na progesteroni. **Chanzo cha Menoposi:** Menoposi hutokea kutokana na kupungua kwa uzalishaji wa homoni za kike katika ovari. Hii ni mchakato wa kawaida wa kuzeeka na hauhusiani na magonjwa. Hata hivyo, menoposi inaweza kutokea mapema kwa sababu ya upasuaji wa kuondoa ovari, matibabu ya saratani kama vile tiba ya mionzi au kemotherapy, au hali nyingine za kiafya. **Dalili za Menoposi:** 1. **Mabadiliko ya Hedhi:** Kipindi cha hedhi huwa hakitabiriki na hatimaye hukoma. 2. **Joto Kali (Hot Flashes):** Hisia za joto kali mwilini ambazo huja ghafla. 3. **Kutokwa na Jasho Usiku:** Kutokwa na jasho kupita kiasi wakati wa usiku. 4. **Ukavu wa Uke:** Kupungua kwa unyevu katik...

FAHAMU SIRI ZA DAWA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Image
 Vidonda vya tumbo ! Siku zote ukiwa mjinga wewe ndio utakaofanya wajanja kula wapo watu wengi wamekuwa wakinywa dawa za hospital kila siku wakiamini kuwa wanaweza kupona vidonda vya tumbo. Siku ukija kupona vidonda vya tumbo kwa dawa za hospital wenda akili yangu haipo Ok  Siri ya dawa hizo ni kumdaganya mteja anayekuja kununua dawa za vidonda vya tumbo kwa kumpa dawa ambazo kazi yake ni kupunguza gas na acidic tumboni na tena unaweza pewa dawa za mwezi mzima ukawa ukizitumia unaona upo safi kabisa tena mzima wa Afya ila baada ya dozi kuisha tatizo kitatulia kidogo kisha linakuja tena. Kile msichokijua ni hivi unapokuwa umezimeza dawa za hospital za kutuliza maumivu ya vidonda vya tumbo kwanza tambua tatizo ndio kwanza litakuja kuongezeka zaidi ya hapo. Kuna watu wao wakisikia tumbo linauma ndio kwanza wanakimbilia dawa za kutuliza maumivu ya tumbo Hawa ndio wapo KWENYE tatizo kubwa zaidi maana ndio wanaharibu mfumo mzima wa uzalishaji wa hyd acid kwenye tumbo na mbaya zaidi ...

FAIDA ZA KULA PAPAI TUMBO LIKIWA TUPU

Image
 KULA PAPAI TUMBO LIKIWA TUPU HUSAIDIA KUONDOA SUMU MWILINI Kula Papai ni njia nzuri ya kusafisha Mwili, kuondoa sumu na kuhakikisha Utumbo unakuwa imara. Husaidia kupunguza lehemu (Cholesterol) na kuzuia Magonjwa ya Moyo Unashauriwa kusubiri kwa dakika 45 bila kula chochote baada ya kula  https://kalolen.blogspot.com/

NGUVU ZA KIUME SABABU ZILIZO FANYA MR SADIK KUACHWA NA MKE WAKE

Image
 WAPO WANAUME WANAPITIA CHANGAMOTO HII  ILA INATIBIKA NA KWA UWAKIKA KABISA Kwangu ilikuwa ngumu sana ; Nakumbuka mwanzoni mambo yalikuwa yanaenda vizuri huko ndani  .Mwanamke alinifurahia sana na kwa kweli nilijiona mwanaume  .Baadaye mambo yalibadilika nilianza kukosa hamu ya tendo la ndoa na hata nilipoipata haikuwa active sana, uume wangu ulisimama  kwa mda kidogo tena ukiwa mlegevu sometime nilikosa tu nguvu za mwili  .Nilishangaa sana lakini sikujua tatizo linatokana na nini?  Hata mbegu za kiume zilikuwa zinatoka chache au hazitoki kabisa most of the time niliwahi kufika kileleni.  Hali hii ilinikosesha furaha  kabisa hata mwanamke niliona hayupo comfortable tena kushiriki  tendo na mimi kila nilipojaribu kumpapasa hakuonyesha ushirikiano  sababu Mara kwa Mara nimefanya hivyo lakini uume hausimami au nawahi kufika kileleni.  Niliumia sana Siku aliponitamkia "Wewe  sio mwanaume "  . imagine umemzalisha watoto wa...

KUTIBU MAUMIVU WAKATI WA HEDHI BILA DAWA

Image
  JINSI YA KUONDOA MAUMIVU MAKALI YA HEDHI 1. ACHA KULA Soda, Juisi, smooth za matunda, Milkshakes, Nafaka na Ngano,Viazi,Pombe, Mafuta ya mbegu za Mimea, Margarine. . 2. KULA HIVI Mboga za majani, Matunda,Karanga za Omega 3 (Almond,korosho, mbegu za maboga),Samaki,kuku,Matunda na nyama MAUMIVU HUTAYASIKIA KABISA NA MZUNGUKO WAKO UTAKUWA IMARA NA UHAKIKA NDANI YA MWEZI MMOJA UKIWA KWENYE CHALLENGE. . Wangapi wako tayari kuanza Huduma hii bila dawa za maumivu wala kemikali 0684450076

Faida Za mboga za Majani

Image
 :Mboga za Majani huwa na Nyuzinyuzi zinazosaidia kuboresha Mfumo wa Chakula na kutoa Kinga dhidi ya #Saratani ya Utumbo Mkubwa Pia, huwa na Madini ya Potassium ambayo husaidia kudhibiti Shinikizo Kubwa la Damu na Magonjwa ya Moyo Soma zaidi nakala za hivi Hakuna aina moja ya mboga za majani inayotosha kukupatia virutubisho vyote muhimu ili uweze kuimarisha afya yako. Ni muhimu kutokutumia aina moja ya mboga kila siku kwa kuwa haiwezi kukupatia virutubisho vyote unavyohitaji, bali jitahidi kuchanganya au kubadili mara kwa mara ili uweze kunufaika vizuri. Mboga za majani huwa na faida zifuatazo kwa afya- Huwa na nyuzinyuzi zinazosaidia kuboresha mfumo wa chakula, kurahisisha choo na kutoa kinga dhidi ya saratani ya utumbo mkubwa Aina nyingi za mboga za majani huwa na madini ya potassium ambayo husaidia kudhibiti shinikizo kubwa la damu na magonjwa ya moyo Huwa na kipimo kidogo cha sukari (Low Glycemic Index) hivyo hufaa sana kwa watu wenye tatizo la ugonjwa wa kisukari Kama ilivyo k...

Xpower Capsules kutatua Nguvu Za Kiume

Image
 *Hii inaitwa xpower man plus capsules... ni bidhaa adimu kutoka los angels,marekani imetengenezwa kwa viambata vinne vifuatavyo...*  *macca roots-kazi yake ni kuongeza kiwango cha homoni ya kiume(testosterone),huongeza hamu ya tendo* 👇 ,*huongeza ubora na wingi wa mbegu za kiume*  *epimedium-kwa jina lingine huitwa horny goat weed hufungua mishipa ya damu katika uume na sehemu nyingine za mwili hivyo kuruhusu damu kusambaa vizuri na kusaidia kusimamisha kwa muda mrefu* *tongkat ali-huu ni mmea ambao mizizi yake imethibitishwa kuimarisha misuli ya uume na kuufanya kuwa mgumu kama msumari ukisimama hivyo kuongeza ukubwa wa uume* *black ginger-hii ni tangawizi nyeusi,utafiti umeonesha inasaidia kuupa mwili nguvu ya hivyo husaidia kudumu kwenye tendo kwa muda mrefu bila kuchoka,pia inasaidia kuweza kurudia tendo zaidi ya mara tatu* Call 0684450076  *vyote hivyo unavipata ndani ya kidonge cha xpower man capsules plus chupa moja ni dose ya siku 15,yaani nusu mwezi mzima...

ONDOA SUMU MWILINI KWA DETOXILIVE

Image
Whatsapp IJUE DETOXILIVE CAPSULE NA KAZI ZAKE *Bidhaa Hii ni Muhimu sana Kwa kila BINADAMU kutokana na kazi zake MWILINI hasa katika organs muhimu Kama vile Figo ,Ini ,Mapafu ,Kongosho ,Ubongo na nk , Tunatumia vyakula ,Vinywaji na Madawa yenye kemikali na Sumu lakini hatuli vitu vinavyo toa sumu mwilini habar njema ni kwamba DETOXILIVE ni suluisho *Hizi ni Baadhi ya Faida za DETOXILIVE*  1.Huondoa sumu mwilini. 2. Inaimarisha ubongo na kutunza kumbukumbu 3.Inaondoa madhara ya pombe kwa wanywaji na kulinda INI na FIGO  4.Inaondoa mafuta yaliyozidi mwilin, baada ya kula hutumiwa Kuzuia kuota vitambi,  5. Inaondoa sukari iliyozid mwilin Na ni nzuri kwa wenye shinikizo la damu (presha)  6.Huondoa hali ya uzee wa sura na mwili kabla ya wakati 7.Ina ondoa URIC ACID ilio zidi mwilini  8.Huondoa maumivu ya viungo hasa kwenye maungio kwan unbalance kiwango cha uric acid 9.Inaimarisha UTENDAJI KAZI MZURI na kuzuia madhara kwenye FIGO,INI,KONGOSHO,mapafu 10.Inaleta using...

Ongezeko la Uric Acid na Madhara yake

Image
 Uric Acid Kiwango sahihi cha uric acid mwilini kwa watu wazima ni kati ya 3.4 hadi 7.0 milligrams kwa desilita (mg/dL) kwa wanaume na kati ya 2.4 hadi 6.0 mg/dL kwa wanawake. Viwango vya uric acid vinaweza kutofautiana kidogo kulingana na maabara na njia za kupima, lakini viwango hivi vinaashiria kawaida kwa watu wengi. Uongezeko la uric acid mwilini linaweza kusababisha matatizo kama vile podagrayi (arthritis ya gout), mawe ya figo, au kuongezeka kwa hatari ya magonjwa ya moyo. Kwa upande mwingine, viwango vya chini vya uric acid pia vinaweza kuwa na athari mbaya kwa afya. Ikiwa una wasiwasi kuhusu viwango vyako vya uric acid au una dalili zinazohusiana na shida ya uric acid, ni muhimu kuongea na daktari wako. Daktari wako ataweza kufanya vipimo vya ziada na kutoa mapendekezo sahihi kulingana na hali yako ya kiafya. Wasiliana Nasi Ushauri Zaidi     +255(0)  0684 450 076  0684 450 076 

Chakula Anacho Paswa Kula Mgonjwa wa Kisukari

Image
 Mtu mwenye kisukari anapaswa kuzingatia lishe yenye afya ili kudhibiti viwango vya sukari mwilini. Chakula chake kinapaswa kuwa na virutubisho vya kutosha na kufuata miongozo ifuatayo: 1. **Vyakula vyenye wanga wazima**:  Kama vile nafaka nzima (kama vile mchele wa kahawia, ugali wa mahindi ya unga mzima, na mkate wa ngano kamili isiyo pita kiwandani ), mboga za majani, na matunda yenye nyuzinyuzi nyingi. 2. **Protini zenye afya**:  Kama vile kuku bila ngozi , samaki, tofu, na maharage. 3. **Mafuta yenye afya**:  Kama vile mafuta ya zeituni, mafuta ya alizeti, na mafuta ya mbegu za maboga. Epuka mafuta yenye cholesterol nyingi. 4. **Kupunguza sukari na vyakula vyenye wanga wanga wa haraka**:  Epuka vyakula vyenye sukari nyingi na vyakula vilivyopikwa kwa unga mweupe. 5. **Kudhibiti sehemu za kula**:  Kula sehemu ndogo za chakula kwa kila wakati wa kula ili kudhibiti kiwango cha sukari mwilini. 6. **Mazoezi**:  Pamoja na lishe bora, mazoezi ni muhimu s...

FAHAMU KWANINI PUA ZA WAJAWAZITO HUWA KUBWA KIPINDI CHA UJAUZITO

Image
 𝗞𝘄𝗮𝗻𝗶𝗻𝗶 𝗣𝘂𝗮 𝘇𝗮 𝗺𝗮𝗺𝗮 𝗸𝗶𝗷𝗮𝗰𝗵𝗼 𝗵𝘂𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 ??? Mabadiliko mengi hutokea wakati wa ujauzito, na ‘Pua ya Ujauzito’ ni mojawapo..! Dalili hii isiyozungumziwa sana, inayotrendi kwenye mitandao ya kijamii, inafunua mabadiliko ya kushangaza ambayo wanawake hupitia, katika harakati za kuleta uhai mpya duniani. 🤰✨ Je, wajua? Mwili wako huzalisha damu na maji maji ya ziada kwa asilimia 50 wakati wa ujauzito, hali inayosababisha kuvimba sehemu kadhaa za mwili ikiwemo pua! Hii inaweza kuanza katika trimesta ya pili na kuwa kali zaidi katika ya tatu. Ni sehemu ya maandalizi ya mwili wako kwa ajili ya kujifungua mtoto wako. 🌟 Ingawa kuna machache unayoweza kufanya kudhibiti hili, kumbuka, ni mabadiliko ya kawaida na ya muda. Kumbatia kipindi hiki kwa upendo, furaha na ucheshi – ni sehemu moja tu ya safari ya ajabu ya umama! ❤️👶 #SafariYaUmama  0684 450 076 

Dalili za Pumu

Image
 Ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa upumuaji baada ya njia ya kupitishia hewa (bronchieal tube) kuvimba na kutengeneza Ute (mucus) ambayo kupelekea njia ya hewa kuwa ndogo, mgonjwa huanza kupata shida ya Kupumua, kukohoa, kutoa sauti Kama filimbi na wengine Kushindwa kuongea. Asthma/Pumu huwapata Rika na jinsia zote wakubwa kwa Watoto. Pumu haina chanzo mahususi (halisi), bali hufananishwa na kulinganishwa na mazingira flani. Dalili za Pumu  Mgonjwa wa pumu huonyesha dalili kadha wa kadha Kati ya hizo ni hizi zifatazo. Kupata shida ya Kupumua Kifua kubana na kifua kuuma Kukoh/kikohozi Kutoa sauti kama filimbi wakati wa kutoa hutoa hewa. Kushindwa kulala/kupata shida wakati wa kulala kwa sababu ya Kushindwa Kupumua vizuri. Wakati mwingine Pumu hutokea/huamshwa na mazingira flani ya nje au Hali ya hewa. Shughuli katika mazingira flani - Baadhi ya watu hupata tatizo la Pumu kwa sababu ya kazi hujulikana Kama (exercises induced asthma) mfano wanaofanya mazingira yenye baridi sana, na...

TIBU BAWASIRI UKIWA NYUMBANI FAHAMU

Image
 TATIZO LA BAWASIRI UNAWEZA KUTIBU UKIWA NYUMBANI KWAKO  Watu wengi tunalifahamu tunda hili la koma manga sifahamu Kwa kabila lenu mnaitaje lakini KITAALAMU huitwa  POMEGRANATE Tunda hili limeanza kutumika tangu miaka ya nyuma katika kupunguza hata kuondoa kabisa shida ya BAWASIRI Ondoa zile mbegu zake ,Kisha zikaushe vizuri na baadae unaweza kuzisaga vizuri kabisa Kisha ukawa unatumia Tumia unga wake pima katika  kijiko Cha chakula ukichanganya na maziwa kiasi Kama kikombe Cha chai tumia Mara nyingi zaidi Kwa siku  NB Kama utakosa maziwa unaweza kutumia hata na maji vugu vugu na kwamawanaume itamuongezea na kiwango Cha mbegu na kufanya ajisikie vizuri zaidi Dr Thabiti  0684450076 @Vyakula_na_tiba

TIBA YA KWIKWI UKIWA NYUMBANI

Image
   Tiba ya kwikwi kwa kutumia kitunguu maji (anion): Kitunguu maji(anion)  ni Mujarrab sana kwa magonjwa mengi likiweo tatizo la kwikwi. Tiba ya kwikwi kupitia kitunguu maji ni kama ifuatavyo: Kata kata kisha ponda kitunguu maji kutumia kinu, blender, au chochote kile hadi kipondeke vizuri. Weka chumvi na maji machache kisha changanya vizuri Kamua na kisha chuja mchanganyiko wako upate juisi. Weka kwenye Chombo safi kisha kunywa utapata matokeo mazuri hapo hapo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Tiba hii ni Mujarrabu sana hata kwa kwikwi ya aina gani. Kwa taaluma zinazohusu tiba kwa njia asili, endelea kufuatilia mada zetu pia usisahau kuwashirikisha wengine ili nao wapate faida hii Karibu group la Watsapp 0684450076

VYAKULA UNAPASWA KULA KIPINDI CHA BARIDI

Image
 Machungwa yana kiwango kikubwa cha #Vitamini C ambayo husaidia kuongeza kinga ya Mwili dhidi ya Magonjwa na hupunguza hatari ya kupata Homa ya Baridi Ndizi Mbivu ni chanzo kizuri cha Nishati kwasababu zina kiwango kikubwa cha Wanga, huku Tufaa (#Apple) husaidia katika utaratibu wa mmeng'enyo wa Chakula na kuhifadhi Nishati  Aidha, Parachichi husaidia kudumisha Afya ya Ngozi na kutoa Nishati ya muda mrefu huku ulaji wa Papai ukiboresha Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula na kusaidia katika kudumisha Afya ya Ngozi  0684450076 umekula Tunda gani leo kati ya haya? Watsapp

SABABU ZA KUPUNGUA KWA HAMU YA NGONO KWA MWANAUME LIBIDO NA TIBA

Image
 Kupoteza hamu ya ngono: sababu na matibabu ya kupungua kwa libido kwa wanaume Ukosefu wa hamu ya ngono kwa wanaume *Matatizo ya Homoni:* Kama unavyojua, uwepo wa hamu ya ngono inategemea hali ya homoni ya mwili. Homoni kuu inayohusika na libido ya kiume ni testosterone, ambayo hutolewa kwenye korodani. Kwa upungufu wa testosterone, libido daima hupunguzwa *Tabia mbaya:* Sababu za kawaida sana ni pamoja na matumizi mabaya ya pombe, matumizi ya dawa za kulevya, na matumizi ya kawaida ya dawa za kutuliza maumivu na dawamfadhaiko. Kimsingi, hii ndiyo sababu ya ukosefu wa hamu ya ngono kwa wanaume, pia ya asili ya kisaikolojia.  Walakini, bado inafaa kuangazia kama tofauti, kwani sio watu wote wanaougua kitu huwa walevi wa dawa za kulevya, wanakunywa dawa za unyogovu ...  Watu wanaokabiliwa na tabia mbaya wanapaswa kuimarisha ujasiri na nguvu zao kwa kuacha tabia hizo atarishi *Sababu za kisaikolojia* Sababu za kisaikolojia pia ni pamoja na dhiki ya mara kwa mara, hofu, wasiw...

JINSI YA KUPIKA MBOGA ZA MAJANI KUPATA VIRUTUBISHI VYAKE NA FAIDA ZAKE

Image
  FAHAMU:NAMNA YA KUPIKA MBOGA ZA MAJANI Watu wanakula mboga za majani kwa lengo la kupata kiburudisho na wengine ili siku iende tuu. Wengi wanakosea kupika mboga za majani ili kupata virutubisho kama vitamins na madini chuma Zingatia haya ukiwa unapika mboga 1.Osha mboga za majani kwa maji safi kabla ya kuzikatakata.  Kamwe usioshe baada ya kuzikatakata 2. Pika kwa muda mchache.  Virutubisho vyake ni heat labile; ukichemsha sana vinaharibika. 3. Pika ukiwa umefunika kwa mfuniko. Kuacha wazi kutapoteza virutubisho 4. Usipike chukuchuku (bila mafuta); virutubisho vinavyopatikana kwenye mbogamboga vinahitaji kiasi cha mafuta ili kimeng'enywe na kuingia kwenye mfumo wa damu wa mlaji.  Hivyo, ukila bila kuweka mafuta, unapoteza virutubisho vingi.  Weka mafuta  salama kwa mlaji hata kijiko kimoja tu. Gusa hapa chati nami Watsapp FAIDA ZA KULA MBOGA ZA MAJANI 1. Kupata virutubisho muhimu kama vitamins ili kusaidia kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili na mfumo wa fa...

SIFA ZA MWANAUME MWENYE NGUVU ZA KIUME FAHAMU ZAIDI

Image
  *SIFA ZA MWANAUME MWENYE NGUVU ZA KIUME!*   Ukiamka asubuhi ni lazima uume usimame   utadinda kwa kiasi cha dakika 3 - 5 kisha unatulia, Kama ukiamka uume unanywea hilo ni tatizo.  Ukimwona mwanamke akiwa nusu maungo au uchi kabisa ni lazima *uume ushtuke na kusimama kidete* , ukiona hausimamishi na wala hausisimki hilo ni tatizo. *Unapokuwa katika tendo uume unatakiwa kusimama imara, ujae damu ya kutosha na kuvimba vizuri, ukiwa legelege hilo ni tatizo.*  *Hakikisha Uume unaweza kuingia ukeni kwa nguvu yake, ukiona mpaka ushikilie ndipo iingie hilo ni tatizo.*  *Uume unatakiwa kukupa nguvu ya kuweza kufanya tendo mpaka umalize round, ukisinyaa ndani ya mwanamke hilo ni tatizo.* *Kama una hizo changamoto ni vigumu kuipata heshima yako Kama mwanaume kwa mkeo* ✍️💯 jitahidi upate suluhu urejeshe heshima yako.            ♻️Call,Tex,WhatsApp  🪀+255 684450076