FAIDA ZA KULA PAPAI TUMBO LIKIWA TUPU
KULA PAPAI TUMBO LIKIWA TUPU HUSAIDIA KUONDOA SUMU MWILINI
Kula Papai ni njia nzuri ya kusafisha Mwili, kuondoa sumu na kuhakikisha Utumbo
unakuwa imara. Husaidia kupunguza lehemu (Cholesterol) na kuzuia Magonjwa ya Moyo
Unashauriwa kusubiri kwa dakika 45 bila kula chochote baada ya kula
https://kalolen.blogspot.com/
Comments
Post a Comment