VYAKULA UNAPASWA KULA KIPINDI CHA BARIDI
Machungwa yana kiwango kikubwa cha #Vitamini C ambayo husaidia kuongeza kinga ya Mwili dhidi ya Magonjwa na hupunguza hatari ya kupata Homa ya Baridi
Ndizi Mbivu ni chanzo kizuri cha Nishati kwasababu zina kiwango kikubwa cha Wanga, huku Tufaa (#Apple) husaidia katika utaratibu wa mmeng'enyo wa Chakula na kuhifadhi Nishati
Aidha, Parachichi husaidia kudumisha Afya ya Ngozi na kutoa Nishati ya muda mrefu huku ulaji wa Papai ukiboresha Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula na kusaidia katika kudumisha Afya ya Ngozi
0684450076
umekula Tunda gani leo kati ya haya?
Comments
Post a Comment