TIBU BAWASIRI UKIWA NYUMBANI FAHAMU
TATIZO LA BAWASIRI UNAWEZA KUTIBU UKIWA NYUMBANI KWAKO
Watu wengi tunalifahamu tunda hili la koma manga sifahamu Kwa kabila lenu mnaitaje lakini KITAALAMU huitwa
POMEGRANATE
Tunda hili limeanza kutumika tangu miaka ya nyuma katika kupunguza hata kuondoa kabisa shida ya BAWASIRI
Ondoa zile mbegu zake ,Kisha zikaushe vizuri na baadae unaweza kuzisaga vizuri kabisa Kisha ukawa unatumia
Tumia unga wake pima katika kijiko Cha chakula ukichanganya na maziwa kiasi Kama kikombe Cha chai tumia Mara nyingi zaidi Kwa siku
NB
Kama utakosa maziwa unaweza kutumia hata na maji vugu vugu na kwamawanaume itamuongezea na kiwango Cha mbegu na kufanya ajisikie vizuri zaidi
Dr Thabiti
0684450076
@Vyakula_na_tiba
Comments
Post a Comment