Posts

Showing posts from September, 2023

FAIDA ZA KUTUMIA KARAFUU KIAFYA

Image
 MATUMIZI YA KARAFUU KATIKA TIBA Tafiti zinasema karafuu ni miongoni mwa viungo muhimu vyenye faida nyingi kiafya kama , husaidia usagaji mzuri wa chakula, tumbo kujaa gesi, inaimarisha afya ya mifupa pia huleta hamu ya kula chakula. Pamoja na faida zote hizo karafuu ina faida kwenye afya ya uzazi wa mwanamke na mwanaume pia. 1️⃣Karafuu ni nzuri kwa mwanamke mwenye changamoto ya kuziba kwa mirija  2️⃣Karafuu ina sifa ya kurudisha hedhi ( period) iliyokata muda mrefu 3️⃣Karafuu ina sifa ya kuzuia na kuyeyusha  uvimbe wowote kwenye kizazi ( ovarian cyst & fibroids) 4️⃣karafuu inasaidia zoezi la kupevusha mayai hivyo hurahisisha zoezi la kubeba ujauzito 5️⃣Karafuu ina sifa ya kuzuia na kutibu kansa ya kizazi ( cervical cancer) MATUMIZI Tumia juisi ya karafuu. Chukua karafuu vijiko vitatu kisha loweka kwenye maji lita moja jioni. Kesho asubuhi chuja yote makapi tupa. Kunywa juisi hii asubuhi glass moja na jioni glass moja kwa siku 30 mfululizo. Ahsante 🙏🙏 karibu katika ...

HESHIMA YA NDOA NI KUWA NA AFYA NA NGUVU ZA KIUME FAHAMU .WANAMKE ANAVYO PUNGUZA NGUVU

Image
 Jinsi Mwanamke anavyoweza Kukusababishia Ukapoteza Hamu Ya Tendo na Uwezo wa KushirikiTendo la Ndoa Ukitafakari kwa haraka utakosa jibu, lakini ukiendelea kusoma makala haya utaelewa kwa nini wanahusika na wanatakiwa kufanya nini ili angalau kuipunguza aibu hii inayowakosesha raha wanaume wengi. 1. UBUNIFU Inaelezwa kuwa wanawake hasa waliopo kwenye ndoa au Mahusiano kwa muda mrefu, hupunguza ubunifu/ utundu kitandani na hivyo kuwafanya waliokuwa nao kuwaona tofauti na kupunguza hamu ya kujamiiana. 2. KAULI Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litampelekea kupotea nguvu za kiume taratibu. Msaada unaohitajika kwa mwanamke anayekutana na mwanaume dhaifu kwenye tendo si kumwambia hawezi, bali ni kumtia moyo na kumsaidia kuweza. Wanawake wamewasababishia waume zao upungufu wa n...

UNAHITAJI KUTIBU KISUKARI SASA FAHAMU LISHE NA TIBA

Image
 *UNAHITAJI KUMALIZA CHANGAMOTO YA KISUKARI!?* Ukweli ni kwamba hauhitaji kutibu kisukari Unachohitaji hasahasa ni kutibu kongosho na kuboresha utendaji kazi wa seli za mwili kwani ndio chanzo cha tatizo la kisukari.  Siku zote  ukitaka kumaliza tatizo tibu chanzo chake na hii ndio siri ambayo watu  wengi  hawafahamu ndio maana  huishia kutibu kisukari bila mafanikio leo nakupa hii siri. ✍🏻Hata kama umeshajaribu tiba zingine kwa kipindi cha nyuma bila mafanikio basi Program ya *NMN DIABETIC PACKAGE* ni kwaajili yako.  Soma mpaka mwisho👇🏻👇🏻  📌Ukianza kutumia Program ya _*NMN DIABETIC PACKAGE*_ itakusaidia kutibu kongosho na kurekebisha utendaji kazi wa seli za mwili na kumaliza kabisa changamoto ya kisukari. ✅Unapotumia Program hii itakusaidia..... 👇 ⏭Kuboresha Utendaji kazi wa kongosho na kuimarisha seli za mwili kwahiyo utamaliza changamoto ya kisukari kabisa. ⏭Huimarisha utendaji kazi wa homoni ya Insulin mwilini kwahiyo(Huna haja ya kuch...

NMN KUTIBU SUKARI,PRESHA,TEZI DUME NA NI ANT_AGING

 FAHAMU KUHUSU NMN (KIRUTUBISHO LISHE) Kutibu Kisukari, Pressure, Tezi dume na ni ANT_AGING. Kuhusu NMN(Nicotinamide MonoNucleotide. Kumbuka yafuatayo ukitumia NMN mwili unaibadilisha kuwa NAD+ (Nicotinamide Adenine Dinuclotide ) chanya.(Aina Fulani ya kimengenywa saidizi yaani coenzyme.) Hii  NAD+ ndio inayofanya ukarabati wa mfumo wa DNA( vinasaba). Na matokeo yanakuwa Kama ifuatavyo ifuatavyo; 1 NAD+Inarekebisha na kuimarisha seli za mifumo ya fahamu hasa ubongo. 2 Inaimarisha utoaji na ufanyaji kazi wa insulin(hivyo kuthibiti magonjwa ya sukari ) na kuvunja vunja kiwango cha sukari mwilini 3 Inazuia magonjwa mengine yanayotokana na umri Kama cancer, magonjwa ya moyo n.k 4 Inarekebisha seli za ngozi hivyo kupunguza uchakavu na kuchoka wa ngozi (MAKUNYANZI) na kuweka mwonekano wa ujana. 5 Inaruhusu virutubishi kwenye mwili kuchakatwa kwa ubora wa Hali ya juu. Ni muhimu kumbuka kwamba mwili unatengeneza NAD+  Lakini  inaendelea kupunguza jinsi umri unavyo sogea. Not...

UFANYE NINI UKIWA UNAPATA MAUMIVU KWENYE KUNYONYESHA FAHAMU

Image
 Ufanye nini unapopata maumivu ya maziwa wakati wa  kunyonyesha? Mara kadhaa wanawake wanaonyonyesha hupata maumivu ya maziwa. Hali hiyo inaambatana na ziwa kuvimba na kuwa jekundu. Tatizo hilo husababishwa na kuziba kwa mirija midogo inayosafirisha maziwa kupeleka kwenye chuchu. Maambukizi ya bakteria hufuatia baada ya mirija kuziba. Dalili •Kuhisi maumivu kama ziwa  linawaka moto  •Ziwa kuvimba na kuwa na ugumu •Kupata maumivu wakati wa kunyonyesha •Wakati mwingine mama anapata  homa,  Matibabu Iwapo mama amepata tatizo hili anahitaji kufanya mambo yafuatayo kama sehemu ya matibabu •Pata muda wa kutosha kupumzika.  •Tumia vinywaji au vyakula vyenye majimaji kwa wingi •Nyonyesha mtoto mara nyingi uwezavyo mfano kila baada ya saa 2-3. Mama anaponyonyesha itamsaidia kuondoa maambukizi na pia ni salama kwa mtoto. Mdomo wa mtoto unapaswa kufunguka sana, na chuchu yote  ingizwe ndani ya mdomo wa mtoto. •Anza kunyonyesha upande wenye maumivu, ili mtoto...

DAWA YA MENO YENYE KUTIBU NA KUNGARISHA

Image
 DAWA YA KUNG'ARISHA MENO Hii ni Dawa Ya Meno Asilia Imetokana na mchanganyiko asilia wa viambata Kama vile Green tea,Honeysuckle na Notogingseng          wa.me/255684450076 Kazi Zake ni 👇👇👇 ●Ing'arisha Meno Yanakua Meupe •Kuua vijidudu katika kinywa •Kuondoa harufu mbaya mdomoni wa.me/255684450076 ● •Kuponya fizi zinazotoa damu •Kusaidia kutoa ganzi ya meno •Kuondoa maumivu makali ya meno ● •Kusaidia fangasi ya mdomoni,na sehemu zingine •Kukausha majeraha ya kuungua au kujikata •Ni salama zaidi kwani haina madini ya fluoride badala yake kuna mimea mchanganyiko • ●Imethibitishwa na mamlaka ya dawa na vifaa tiba Tanzania TMDA •Ni bidhaa namba moja Tanzania haina Fluoride Dr. Ts toothpaste ni ukitumia hutasumbuliwa tena na tatizo la Meno tumia Dr. Ts toothpaste ili kuimalisha meno yako. Nipigie👉 0684450076 Gusa 👉  watsapp

Njia za Kutibu Kutokwa na Damu Kwenye Fizi

Image
 AFYA: FANYA YAFUATAYO KUJITIBU KUTOKWA NA DAMU KWENYE FIZI > Ugonjwa wa ufizi huathiri ufizi na huweza kusambaa kwenye mifupa inayoshikilia meno. Hii ni mojawapo ya sababu ambazo hufanya watu kupoteza meno. Ni vema kutibiwa kabla ya kusababisha madhara makubwa > Tumia mswaki laini, badili mswaki kila baada ya miezi mitatu, usichokonoe meno mara kwa mara na epuka uvutaji wa Sigara na Tumbaku  > Kula mboga za Majani, Matunda na vyakula vyenye Vitamini C na K kwa wingi na ikiwezekana onana na Daktari  kwa ajili ya matibabu zaidi Ushauri zaidi na matibabu Tupigie 0684450076 Watsapp

BADHI YA VYAKULA VINAVYO ONGEZA DAMU FAHAMU

Image
 BAADHI YA VYAKULA VINAVYOONGEZA DAMU MWILINI Baadhi ya Matunda na Mbogamboga kama Matembele, Spinachi, Broccoli au Sukuma Wiki husaidia kwa kiwango kikubwa kuongeza Damu.  Pia unaweza kusaga Matembele kuwa Juisi Pendelea kula Vyakula vyenye vyanzo vizuri vya Madini Chuma kama Maharage, Samaki, Nyama na Maini.  Pia, Juisi ya Rozella na Tikiti Maji

UJUWE UGONJWA WA TEZI DUME NA LISHE KUJIKINGA

Image
 #Tezidumenini IJUE TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE BILA UPASUAJI Tezi dume ni moja ya tezi ya uzazi ya kiume ambayo kila mwanaume anayo, tezi hii lipo chini ya kibofu cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume. *NOTE:Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nayo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au Saratani.* Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume. •Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis). •Kukua kwa tezi dume ambayo sio Saratani (Benign Prostatic  Hypertrophy-BPH). •Saratani ya tezi dume. *KAZI YA TEZI DUME* •Kutoa majimaji anayochanganyika na mbegu za kiume (sperms) kutengeneza manii (semen). *SARATANI YA TEZI DUME* Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vitokanavyo na saratani kwa wanaume duniani. Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 40 na kuendelea. *VISABABISHI VYA SARATANI YA TEZI DUME* Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikani...

FAIDA ZA MAZIWA MTINDI KIAFYA

Image
 AFYA: Maziwa Mtindi huwa na Protini nyingi, Calcium, Vitamini, na Bakteria wazuri ambao husaidia kubadilisha Sukari. Mtindi husaidia kutoa ulinzi kwenye Mifupa na Meno na pia kuzuia matatizo ya Usagaji wa Chakula Aidha, Mtindi umeonesha kuwa na uwezo mkubwa wa kutoa kinga dhidi ya Maradhi ya kuambukiza Ukeni (Vaginal infections) ushauri na matibabu zaidi  0684450076

JINSI YA KUREJESHA HEDHI ILIYO KWAMA NA ASIYE PATA HEDHI BILA SABABU ZA MSINGI

Image
Kitunguu maji, asali na limao ni dawa nzuri ya kusaidia kutoa hedhi nje iliyokwama Pia kitunguu maji, asali na limao ni dawa nzuri pia kwa mtu mwenye matatizo ya kupumua (asthma) Chukua vitunguu maji viwili vya wastani, katakata na kuchemsha kwa dakika tano kwenye maji yenye ujazo wa nusu lita kisha ipua na ukamulie limao kisha mimina vijiko kadhaa vya asali Utakunywa glass moja asubuhi na jioni kwa siku 3 km hedhi imekwama itaanza kutoka Kwa mgonjwa wa pumu fanya hivyo kwa mwezi mzima kisha utajiskilizia wapi umefikia Karibu Sana, THABIT HERBAL CLINIC... Tunawasaidia wanawake kutatua changamoto za uzazi kama Fangasi, P.I.D sugu, Kuzibua Mirija ya Uzazi, Vivimbe, Matatizo ya Hedhi, Mvurugiko wa Homoni n.k   Tuandikie changamoto yako ya uzazi kwenda WhatsApp namba  0684 450 076 , Dr Thabit — Pia unaweza kuitumia phyto Ganoderma essense:- Ni Tiba Asilia Ambayo:-  ........ Inasafisha via vya uzazi yaani inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi, kuondoa majimaji na uchafu ...

FAHAMU UGONJWA WA P.I.D NA VYAKULA TIBA

Image
 UJUE UGONJWA WA P.I.D NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE   PID( Pelvic Inflammatory Disease )  Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS)   Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D   1.Kupitia ngono zembe 2.Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja 3.Kufanya mapenzi bila kutumia kinga 4.Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono 5.Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara 6.Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba 7.Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako 8.Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano) 9.Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu DALILI ZA UGONJWA WA  P.I.D 1.Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa ...