Posts

Showing posts from April, 2024

FAHAMU SIRI ZA DAWA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Image
 Vidonda vya tumbo ! Siku zote ukiwa mjinga wewe ndio utakaofanya wajanja kula wapo watu wengi wamekuwa wakinywa dawa za hospital kila siku wakiamini kuwa wanaweza kupona vidonda vya tumbo. Siku ukija kupona vidonda vya tumbo kwa dawa za hospital wenda akili yangu haipo Ok  Siri ya dawa hizo ni kumdaganya mteja anayekuja kununua dawa za vidonda vya tumbo kwa kumpa dawa ambazo kazi yake ni kupunguza gas na acidic tumboni na tena unaweza pewa dawa za mwezi mzima ukawa ukizitumia unaona upo safi kabisa tena mzima wa Afya ila baada ya dozi kuisha tatizo kitatulia kidogo kisha linakuja tena. Kile msichokijua ni hivi unapokuwa umezimeza dawa za hospital za kutuliza maumivu ya vidonda vya tumbo kwanza tambua tatizo ndio kwanza litakuja kuongezeka zaidi ya hapo. Kuna watu wao wakisikia tumbo linauma ndio kwanza wanakimbilia dawa za kutuliza maumivu ya tumbo Hawa ndio wapo KWENYE tatizo kubwa zaidi maana ndio wanaharibu mfumo mzima wa uzalishaji wa hyd acid kwenye tumbo na mbaya zaidi ...

FAIDA ZA KULA PAPAI TUMBO LIKIWA TUPU

Image
 KULA PAPAI TUMBO LIKIWA TUPU HUSAIDIA KUONDOA SUMU MWILINI Kula Papai ni njia nzuri ya kusafisha Mwili, kuondoa sumu na kuhakikisha Utumbo unakuwa imara. Husaidia kupunguza lehemu (Cholesterol) na kuzuia Magonjwa ya Moyo Unashauriwa kusubiri kwa dakika 45 bila kula chochote baada ya kula  https://kalolen.blogspot.com/

NGUVU ZA KIUME SABABU ZILIZO FANYA MR SADIK KUACHWA NA MKE WAKE

Image
 WAPO WANAUME WANAPITIA CHANGAMOTO HII  ILA INATIBIKA NA KWA UWAKIKA KABISA Kwangu ilikuwa ngumu sana ; Nakumbuka mwanzoni mambo yalikuwa yanaenda vizuri huko ndani  .Mwanamke alinifurahia sana na kwa kweli nilijiona mwanaume  .Baadaye mambo yalibadilika nilianza kukosa hamu ya tendo la ndoa na hata nilipoipata haikuwa active sana, uume wangu ulisimama  kwa mda kidogo tena ukiwa mlegevu sometime nilikosa tu nguvu za mwili  .Nilishangaa sana lakini sikujua tatizo linatokana na nini?  Hata mbegu za kiume zilikuwa zinatoka chache au hazitoki kabisa most of the time niliwahi kufika kileleni.  Hali hii ilinikosesha furaha  kabisa hata mwanamke niliona hayupo comfortable tena kushiriki  tendo na mimi kila nilipojaribu kumpapasa hakuonyesha ushirikiano  sababu Mara kwa Mara nimefanya hivyo lakini uume hausimami au nawahi kufika kileleni.  Niliumia sana Siku aliponitamkia "Wewe  sio mwanaume "  . imagine umemzalisha watoto wa...

KUTIBU MAUMIVU WAKATI WA HEDHI BILA DAWA

Image
  JINSI YA KUONDOA MAUMIVU MAKALI YA HEDHI 1. ACHA KULA Soda, Juisi, smooth za matunda, Milkshakes, Nafaka na Ngano,Viazi,Pombe, Mafuta ya mbegu za Mimea, Margarine. . 2. KULA HIVI Mboga za majani, Matunda,Karanga za Omega 3 (Almond,korosho, mbegu za maboga),Samaki,kuku,Matunda na nyama MAUMIVU HUTAYASIKIA KABISA NA MZUNGUKO WAKO UTAKUWA IMARA NA UHAKIKA NDANI YA MWEZI MMOJA UKIWA KWENYE CHALLENGE. . Wangapi wako tayari kuanza Huduma hii bila dawa za maumivu wala kemikali 0684450076

Faida Za mboga za Majani

Image
 :Mboga za Majani huwa na Nyuzinyuzi zinazosaidia kuboresha Mfumo wa Chakula na kutoa Kinga dhidi ya #Saratani ya Utumbo Mkubwa Pia, huwa na Madini ya Potassium ambayo husaidia kudhibiti Shinikizo Kubwa la Damu na Magonjwa ya Moyo Soma zaidi nakala za hivi Hakuna aina moja ya mboga za majani inayotosha kukupatia virutubisho vyote muhimu ili uweze kuimarisha afya yako. Ni muhimu kutokutumia aina moja ya mboga kila siku kwa kuwa haiwezi kukupatia virutubisho vyote unavyohitaji, bali jitahidi kuchanganya au kubadili mara kwa mara ili uweze kunufaika vizuri. Mboga za majani huwa na faida zifuatazo kwa afya- Huwa na nyuzinyuzi zinazosaidia kuboresha mfumo wa chakula, kurahisisha choo na kutoa kinga dhidi ya saratani ya utumbo mkubwa Aina nyingi za mboga za majani huwa na madini ya potassium ambayo husaidia kudhibiti shinikizo kubwa la damu na magonjwa ya moyo Huwa na kipimo kidogo cha sukari (Low Glycemic Index) hivyo hufaa sana kwa watu wenye tatizo la ugonjwa wa kisukari Kama ilivyo k...