Posts

Showing posts from October, 2023

SABABU ZA KUPUNGUA KWA HAMU YA NGONO KWA MWANAUME LIBIDO NA TIBA

Image
 Kupoteza hamu ya ngono: sababu na matibabu ya kupungua kwa libido kwa wanaume Ukosefu wa hamu ya ngono kwa wanaume *Matatizo ya Homoni:* Kama unavyojua, uwepo wa hamu ya ngono inategemea hali ya homoni ya mwili. Homoni kuu inayohusika na libido ya kiume ni testosterone, ambayo hutolewa kwenye korodani. Kwa upungufu wa testosterone, libido daima hupunguzwa *Tabia mbaya:* Sababu za kawaida sana ni pamoja na matumizi mabaya ya pombe, matumizi ya dawa za kulevya, na matumizi ya kawaida ya dawa za kutuliza maumivu na dawamfadhaiko. Kimsingi, hii ndiyo sababu ya ukosefu wa hamu ya ngono kwa wanaume, pia ya asili ya kisaikolojia.  Walakini, bado inafaa kuangazia kama tofauti, kwani sio watu wote wanaougua kitu huwa walevi wa dawa za kulevya, wanakunywa dawa za unyogovu ...  Watu wanaokabiliwa na tabia mbaya wanapaswa kuimarisha ujasiri na nguvu zao kwa kuacha tabia hizo atarishi *Sababu za kisaikolojia* Sababu za kisaikolojia pia ni pamoja na dhiki ya mara kwa mara, hofu, wasiw...

JINSI YA KUPIKA MBOGA ZA MAJANI KUPATA VIRUTUBISHI VYAKE NA FAIDA ZAKE

Image
  FAHAMU:NAMNA YA KUPIKA MBOGA ZA MAJANI Watu wanakula mboga za majani kwa lengo la kupata kiburudisho na wengine ili siku iende tuu. Wengi wanakosea kupika mboga za majani ili kupata virutubisho kama vitamins na madini chuma Zingatia haya ukiwa unapika mboga 1.Osha mboga za majani kwa maji safi kabla ya kuzikatakata.  Kamwe usioshe baada ya kuzikatakata 2. Pika kwa muda mchache.  Virutubisho vyake ni heat labile; ukichemsha sana vinaharibika. 3. Pika ukiwa umefunika kwa mfuniko. Kuacha wazi kutapoteza virutubisho 4. Usipike chukuchuku (bila mafuta); virutubisho vinavyopatikana kwenye mbogamboga vinahitaji kiasi cha mafuta ili kimeng'enywe na kuingia kwenye mfumo wa damu wa mlaji.  Hivyo, ukila bila kuweka mafuta, unapoteza virutubisho vingi.  Weka mafuta  salama kwa mlaji hata kijiko kimoja tu. Gusa hapa chati nami Watsapp FAIDA ZA KULA MBOGA ZA MAJANI 1. Kupata virutubisho muhimu kama vitamins ili kusaidia kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili na mfumo wa fa...

SIFA ZA MWANAUME MWENYE NGUVU ZA KIUME FAHAMU ZAIDI

Image
  *SIFA ZA MWANAUME MWENYE NGUVU ZA KIUME!*   Ukiamka asubuhi ni lazima uume usimame   utadinda kwa kiasi cha dakika 3 - 5 kisha unatulia, Kama ukiamka uume unanywea hilo ni tatizo.  Ukimwona mwanamke akiwa nusu maungo au uchi kabisa ni lazima *uume ushtuke na kusimama kidete* , ukiona hausimamishi na wala hausisimki hilo ni tatizo. *Unapokuwa katika tendo uume unatakiwa kusimama imara, ujae damu ya kutosha na kuvimba vizuri, ukiwa legelege hilo ni tatizo.*  *Hakikisha Uume unaweza kuingia ukeni kwa nguvu yake, ukiona mpaka ushikilie ndipo iingie hilo ni tatizo.*  *Uume unatakiwa kukupa nguvu ya kuweza kufanya tendo mpaka umalize round, ukisinyaa ndani ya mwanamke hilo ni tatizo.* *Kama una hizo changamoto ni vigumu kuipata heshima yako Kama mwanaume kwa mkeo* ✍️💯 jitahidi upate suluhu urejeshe heshima yako.            ♻️Call,Tex,WhatsApp  🪀+255 684450076

FAIDA ZA KULA PALACHICHI KIAFYA

Image
 Faida za kula palachichi 💧palachichi lina virutubisho kama wanga, vitamini C, E, K na B^. pia lina madini ya managesium na potassium. 💧Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya moyo 💧Huzuia kupata ugonjwa wa mifupa (kuwa dhaifu na kufunjika kwa urahisi) 💧Huzuia ama kupunguza kupata ugonjwa wa saratani 💧Huboresha afya ya watoto wadogo na ukuaji wao 💧Hupunguza misongo ya mawazo 💧Huondoa tatizo la kutopata choo kikubwa 💧Husaidia kuondoa sumu za vyakula na akemikali mwilini 💧Husaidia kuzuia maambukizi ya mara kwa mara ya virusi, bakteria na fangasi 💧Husaidia kuzuia kupata maradhi ya kisukari Ushauri zaidi na tiba tupigie 0684450076 Watsapp