FAIDA ZA KULA PALACHICHI KIAFYA
Faida za kula palachichi
💧palachichi lina virutubisho kama wanga, vitamini C, E, K na B^. pia lina madini ya managesium na potassium.
💧Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya moyo
💧Huzuia kupata ugonjwa wa mifupa (kuwa dhaifu na kufunjika kwa urahisi)
💧Huzuia ama kupunguza kupata ugonjwa wa saratani
💧Huboresha afya ya watoto wadogo na ukuaji wao
💧Hupunguza misongo ya mawazo
💧Huondoa tatizo la kutopata choo kikubwa
💧Husaidia kuondoa sumu za vyakula na akemikali mwilini
💧Husaidia kuzuia maambukizi ya mara kwa mara ya virusi, bakteria na fangasi
💧Husaidia kuzuia kupata maradhi ya kisukari
Ushauri zaidi na tiba tupigie
0684450076
Watsapp
Comments
Post a Comment