Posts

Showing posts from November, 2023

TIBU BAWASIRI UKIWA NYUMBANI FAHAMU

Image
 TATIZO LA BAWASIRI UNAWEZA KUTIBU UKIWA NYUMBANI KWAKO  Watu wengi tunalifahamu tunda hili la koma manga sifahamu Kwa kabila lenu mnaitaje lakini KITAALAMU huitwa  POMEGRANATE Tunda hili limeanza kutumika tangu miaka ya nyuma katika kupunguza hata kuondoa kabisa shida ya BAWASIRI Ondoa zile mbegu zake ,Kisha zikaushe vizuri na baadae unaweza kuzisaga vizuri kabisa Kisha ukawa unatumia Tumia unga wake pima katika  kijiko Cha chakula ukichanganya na maziwa kiasi Kama kikombe Cha chai tumia Mara nyingi zaidi Kwa siku  NB Kama utakosa maziwa unaweza kutumia hata na maji vugu vugu na kwamawanaume itamuongezea na kiwango Cha mbegu na kufanya ajisikie vizuri zaidi Dr Thabiti  0684450076 @Vyakula_na_tiba

TIBA YA KWIKWI UKIWA NYUMBANI

Image
   Tiba ya kwikwi kwa kutumia kitunguu maji (anion): Kitunguu maji(anion)  ni Mujarrab sana kwa magonjwa mengi likiweo tatizo la kwikwi. Tiba ya kwikwi kupitia kitunguu maji ni kama ifuatavyo: Kata kata kisha ponda kitunguu maji kutumia kinu, blender, au chochote kile hadi kipondeke vizuri. Weka chumvi na maji machache kisha changanya vizuri Kamua na kisha chuja mchanganyiko wako upate juisi. Weka kwenye Chombo safi kisha kunywa utapata matokeo mazuri hapo hapo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Tiba hii ni Mujarrabu sana hata kwa kwikwi ya aina gani. Kwa taaluma zinazohusu tiba kwa njia asili, endelea kufuatilia mada zetu pia usisahau kuwashirikisha wengine ili nao wapate faida hii Karibu group la Watsapp 0684450076

VYAKULA UNAPASWA KULA KIPINDI CHA BARIDI

Image
 Machungwa yana kiwango kikubwa cha #Vitamini C ambayo husaidia kuongeza kinga ya Mwili dhidi ya Magonjwa na hupunguza hatari ya kupata Homa ya Baridi Ndizi Mbivu ni chanzo kizuri cha Nishati kwasababu zina kiwango kikubwa cha Wanga, huku Tufaa (#Apple) husaidia katika utaratibu wa mmeng'enyo wa Chakula na kuhifadhi Nishati  Aidha, Parachichi husaidia kudumisha Afya ya Ngozi na kutoa Nishati ya muda mrefu huku ulaji wa Papai ukiboresha Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula na kusaidia katika kudumisha Afya ya Ngozi  0684450076 umekula Tunda gani leo kati ya haya? Watsapp