FAHAMU UGONJWA WA P.I.D NA VYAKULA TIBA

 UJUE UGONJWA WA P.I.D NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE


  PID( Pelvic Inflammatory Disease)

 Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS) 


 Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC


WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D

 

1.Kupitia ngono zembe


2.Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja


3.Kufanya mapenzi bila kutumia kinga


4.Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono


5.Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara


6.Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba


7.Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako


8.Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano)


9.Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu


DALILI ZA UGONJWA WA  P.I.D


1.Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa


2.Uke kutoa harufu mbaya 


3.Kuwashwa sehemu za siri


4.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu


5.Uke kuwa mlaini sana


6.Maumivu wakati wa tendo la ndoa


7.Kuvurugika kwa hedhi


8.Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi


9.Maumivu wakati wa kukojoa


10.Homa, uchovu na kizunguzungu


MADHARA YA UGONJWA WA P.I.D 


1 Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopi katika mirija ya uzazi


2.Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za uzazi ambayo hipelekea mirija kuziba


3.Kubeba mimba nje ya kizazi husababishwa yai kushindwa kufika kwenywe mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi 


4.Ugumba kwa mwanamke


5.kupata kansa ya shingo ya kizazi na nk 


TIBA YAKE YA UGONJWA WA PID


Tunatoa Matibabu ya kudumu kwa kuondoa Ugonjwa  wa PID Pamoja na Madhara yake kwa Kutumia Virutubisho Lishe



Wasiliana nasi kwa Ushauri na tiba


0684450076


Bonyeza kuchat nasi WhatsApp


wa.me/255684450076



Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

FAHAMU SIRI ZA DAWA ZA VIDONDA VYA TUMBO

NMN KUTIBU SUKARI,PRESHA,TEZI DUME NA NI ANT_AGING

JINSI YA KUPIKA MBOGA ZA MAJANI KUPATA VIRUTUBISHI VYAKE NA FAIDA ZAKE